Kama unaipenda Hip-Hop karibu tujadiri haya.

Najaribu kuangAliA ...mnasahau watu kama Eazy E ...nafasi yake na Mchango wake ukwapi ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kwangu mimi Eazy E sijui alichangia nini kikubwa labda kuanzisha NWA na kupromot Gangsta Rap labda wapenzi wake watupe info zake
 
Sorry I meant to say Primo was born and raised in cities found in Texas (born in Houston and raised in Prairie View) - thus making him a true down south representative and not a Gothamite as many people might believe.


Nzi hata weye wakurupuka?
 
Eazy E is also Claimed to be one of the fore father of gangsta rap..
Ali pave the way kwa artists wengi right after he Died n while he was still spitting
Anyway kwa kuongezea kidogo ni kwamba ukuaji wa hip hop umepitia era tofautitofauti awali ilijikita sana ktk masuala ya MTU mweusi na harakati zke za kwa ujumla(MTU mweusi) miaka mbele baadaye I think in the 80's and 90's Hiphop ilikua more occupied with Issues/topics mainly concerned with sex,Drugs&Money kutokana na masuala haya kukua kwa Kasi sana hasa issue ya Drugs
Kwa hvyo hii culture imekua iki asili mabadiliko ya kimazingira na kupanuka zaidi miaka Kwa miaka ni tofauti sana na aina nyingine za Muziki kwakua iko so UPDATED

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom