Kama unaipenda Hip-Hop karibu tujadiri haya.

Pia ni teenager basi kwa msingi huo huo.
siyo kila unavyofikiri wewe ndiyo logical.
Inategemea unamaanisha nini ukisema DJ.
Dre ni DJ a.k.a Master of mixology (yeye na Yella ndiyo walivyokuwa wanajiita), he's a clu DJ, concert DJ na Mixtape DJ too! He's not a radio DJ.
Sasa Primo ni DJ wa nani? Baada ya Guiru kufariki?
Ina maana he's not a Dj no more? ... tell me the artist, radio au club anayoDJ sasa hivi .....
Last I heard he was down South with Ludacris.
 
Sasa Primo ni DJ wa nani? Baada ya Guru kufariki? Ina maana he's not a Dj no more? ... tell me the artist, radio au club anayoDJ sasa hivi ..... Last I heard he was down South with Ludacris.
Primo was born in Houston and raised in Texas. He is a Down South representative...
 
siyo kila unavyofikiri wewe ndiyo logical.
Inategemea unamaanisha nini ukisema DJ.
Dre ni DJ a.k.a Master of mixology (yeye na Yella ndiyo walivyokuwa wanajiita), he's a clu DJ, concert DJ na Mixtape DJ too! He's not a radio DJ.
Sasa Primo ni DJ wa nani? Baada ya Guiru kufariki?
Ina maana he's not a Dj no more? ... tell me the artist, radio au club anayoDJ sasa hivi .....
Last I heard he was down South with Ludacris.

Swala hapa sio Primo ana DJ au hapana hili ni common knowledge, the man's moniker starts with "DJ", I posted his turntable wizardry above, swali ni Dre ana DJ nini na wapi, tujuze, unaweza kupost kazi yake inayoonyesha u DJ wake.Maana inawezekana hatujui, tujifnze.

Na tafadhali usilete historia ya enzi za Shalamar kwa sababu kwa msingi huo unaweza kusema Dre yuko against kuvuta Chronic kwa sababu tu alishawahi kusema"I don't smoke cess cause it's known to give a brother brain damage" (Express Yourself -NWA) wakati baadaye akaja kutoa albamu nzima inayosifia mjani -The Chronic.

Listen to a brother who know hapa chini.

Last edited by a moderator:

dre alikuwa DJ na producer wa "Wrecking Crew" in the 80s na pia alikuwa DJ wa KDAY Compton.
Sasa naomba unipe credits za DJ premier (as a DJ), na usiseme neno "alikuwa" kwa sababu kwako wewe alikuwa, haimaanishi kuwa ni DJ.
Najua utaishia kutoa hadithi zile zile za "alikuwa".
What yo said above ni production credits za Primo, who to me is the GOAT, but DJ .... almost 80% of hip hop producers are DJs. That includes DRE ...Yes he can spin, commercially
Na album ya chronic haisifii majani as in the whole album, thats not true!!
 
DJ Premier - Wikipedia, the free encyclopedia

Jina la album ni "The Chronic", jina la album linasifia mjani, albam nzima inasifia mjani.
 
Chifu, Southern Hip Hop umeiacha wapi? Wenyewe wanaita Dirty South, Southern Rap..ikiibuka kujibu mapigo ya East na West - kujaribu kuuonyesha kwamba hata South nao wanaweza kuwa rappers. Kuanzia kwa kina the Geto Boys, Bun B and Pimp C (UGK - UnderGroundKings), 8 Ball & MJG, Jermain Dupri, Dungeon Family (OutKast, Goodie Mob, Killer Mike) hadi kwa kina Ludacris, TI, Lil Wayne, Lil Jon - ambaye naye amekuja kama vile kuirevolutionize hip hop kwa kuingiza punk rock beats - heavy bassline, na kuja na genre inaitwa crunk music - crunk hip hop. Hawa jamaa - hususani hii crunk music - kwa namna fulani imeharibu kabisa ile Hip Hop asili, ya East na West. Kwani sasa si East, North, Midwest na hata West, wanamuziki wengi wanatekwa na crunk music - angalia Lean Back ya Fat Joe, Smack That ya Eminem ft. Akon n.k.

Kusema ukweli the 2000s zimekuwa dominated na Southern hip hop. Nakumbuka kwenye BET awards za 2002/03 ATL representatives swept all the major music award categories.

Na ndiyo maana Gothamites wamekuwa waki-hate tu tokea wafulie.
 
DJ Premier - Wikipedia, the free encyclopedia

Jina la album ni "The Chronic", jina la album linasifia mjani, albam nzima inasifia mjani.

Ha ah ha aha ah nimeipenda signature yako unanikumbusha mtu mzima Inspecta Deck bonge 1 la verse. (I bomb atomically, Socrates' philosophies and hypotheses can't define how I be droppin these mockeries - Triumph) ikiweza niambie yangu nipo kwenye nyimbo gani ya Wu-Tang? na ni verse ya nani?
 
Wimbo unaitwa Triumph kutoka kwa Wu-Tang Clan

Wu Tang-Triumph - YouTube
 
Wimbo unaitwa "Reunited" verse ya The RZA.

Ha ha hah, kweli kabisa. Tena The RZA a.k.a Religious Zionis of America ni moja kati ya producers waliompa mzuka Dr. DRE Kufanya production.
 
Born in Houston and raised in Texas? WTF!!!

Sorry I meant to say Primo was born and raised in cities found in Texas (born in Houston and raised in Prairie View) - thus making him a true down south representative and not a Gothamite as many people might believe.
 
Najaribu kuangAliA ...mnasahau watu kama Eazy E ...nafasi yake na Mchango wake ukwapi ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom