kama una vigezo vyote vya kuwa Mume Bora.

Am Tinnah Mozes Shehoza also known as 'Katrina.
Natafuta Mwanaume mkamilifu wa akili na rijali kwa ajili ya kuwa mume wangu endapo tutawezana kitabia.

Wasifu wake.
Awe Mweusi kidogo,
Awe simple ktk mavazi,
Ajue hitaji la mwanamke ni nini,
Awe na elimu angalau ya Form 4,
Awe ameajiriwa au amejiajiri,
Sichagui dini wala kabila,
Awe na mapenzi ya dhati,
Asiwe mnywaji sana,
Asiwe mwembamba sana,
Mwisho asiwe mkorofi.

Wasifu wangu:
Mdada Mnene japo si sana,
Nina Elimu ya Form 4,
Nimeajiriwa Serikalini,am a teacher,Primary school in Dsm,
Ni Mkatoliki,
Kabila Msambaa,
Ninavutia japo si 100%,
Rangi yangu ni Chokleti yenye maji ya kunde,
Ninakunywa kidogo sana,
Napenda sana kucheki Movie hasa kwenda Threatre.

Kama unahs una vigezo unaweza kuni Pm,au tumia njia yoyote ile.
Asanteni.

Mimi mwenyewe natafuta myu aliye serious.Nitafute kwenye FB Tumia jina Mussa Nkucha ili unipatie namba yako tuwasiliane.AHSANTE SANA.
 
Daah me nataka demu 2 kwa kpind hk cha mpito,kama uko ready kuwa demu wangu 2 n pm na me me.........
 
MMMHHHHH!.........
Nahic km vigezo ulivyotaja vilikuwa unanilenga mie bt usijali, let me find u for more detaailz!..
2tafutane km vp bt age iz nothing bt a number.
 
unatafuta mume alf hujali dini! R u serious kweli? Au unatafuta companion tu?
 
Am Tinnah Mozes Shehoza also known as 'Katrina.
Natafuta Mwanaume mkamilifu wa akili na rijali kwa ajili ya kuwa mume wangu endapo tutawezana kitabia.

Wasifu wake.
Awe Mweusi kidogo,
Awe simple ktk mavazi,
Ajue hitaji la mwanamke ni nini,
Awe na elimu angalau ya Form 4,
Awe ameajiriwa au amejiajiri,
Sichagui dini wala kabila,
Awe na mapenzi ya dhati,
Asiwe mnywaji sana,
Asiwe mwembamba sana,
Mwisho asiwe mkorofi.

Wasifu wangu:
Mdada Mnene japo si sana,
Nina Elimu ya Form 4,
Nimeajiriwa Serikalini,am a teacher,Primary school in Dsm,
Ni Mkatoliki,
Kabila Msambaa,
Ninavutia japo si 100%,
Rangi yangu ni Chokleti yenye maji ya kunde,
Ninakunywa kidogo sana,
Napenda sana kucheki Movie hasa kwenda Threatre.

Kama unahs una vigezo unaweza kuni Pm,au tumia njia yoyote ile.
Asanteni.

mwaka huu ntawaoeni wote mnaotafuta waume, kwani sifa zote nnazo. Ni wewe tu
 
katarina mie nina sifa zote ila napenda mpira wakati mwingine nalala huko huko kutokana na mechi nyingine kufanyika usiku sana
 
Miaka ipi sasa unayo? Litendee haki jukwaa some people are serious here, hili siyo jukwaa la jokes please.
 
Vipi dada yangu mbona hujatupatia mrisho nyuma, umeshapata huyo mtu au bado unatafuta tu hadi sasa? Toa njia mbadala ya mawasiliano.
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom