kama una vigezo vyote vya kuwa Mume Bora.

AmKATRINA

JF-Expert Member
Jul 27, 2012
414
366
Am Tinnah Mozes Shehoza also known as 'Katrina.
Natafuta Mwanaume mkamilifu wa akili na rijali kwa ajili ya kuwa mume wangu endapo tutawezana kitabia.

Wasifu wake.
Awe Mweusi kidogo,
Awe simple ktk mavazi,
Ajue hitaji la mwanamke ni nini,
Awe na elimu angalau ya Form 4,
Awe ameajiriwa au amejiajiri,
Sichagui dini wala kabila,
Awe na mapenzi ya dhati,
Asiwe mnywaji sana,
Asiwe mwembamba sana,
Mwisho asiwe mkorofi.

Wasifu wangu:
Mdada Mnene japo si sana,
Nina Elimu ya Form 4,
Nimeajiriwa Serikalini,am a teacher,Primary school in Dsm,
Ni Mkatoliki,
Kabila Msambaa,
Ninavutia japo si 100%,
Rangi yangu ni Chokleti yenye maji ya kunde,
Ninakunywa kidogo sana,
Napenda sana kucheki Movie hasa kwenda Threatre.

Kama unahs una vigezo unaweza kuni Pm,au tumia njia yoyote ile.
Asanteni.
 
Umri wako na wa mtarajiwa? Au kwako si tatizo? Vipi akiwa ameoa are you ready kuwa mke wa pili?
 
Samahani nilisahau umri.
Me nina 27 years na mume mtarajiwa ningependa awe na umri kuanzia 29 years hadi 35.
 
Mie nina sifa zote hizo lakini bahati mbaya nina mke.......................LOL
Ngoja niweke hili tangazo lako kwenye ubao wetu wa matangazo hapa kazini.......unajua kati ya wafanyakazi 400 waliopo hapa kazini, wapo wanaume 180, na kati ya hao 180, kuna wanaume 75 hajaoa na pia wapo 17 wameachana na wake zao na 5 wamefiwa na wake zao.... naamini hutakosa mmoja wa kukuoa ...................................
 
Umri wako na wa mtarajiwa? Au kwako si tatizo? Vipi akiwa ameoa are you ready kuwa mke wa pili?

me nina 27.
Ye awe na 29-35.
Mh! Mitala naiogopa japo ninao uwezo wa kuwa mke wa pili,ingawa tatizo ni uoga.
 
Mie nina sifa zote hizo lakini bahati mbaya nina mke.......................LOL
Ngoja niweke hili tangazo lako kwenye ubao wetu wa matangazo hapa kazini.......unajua kati ya wafanyakazi 400 waliopo hapa kazini, wapo wanaume 180, na kati ya hao 180, kuna wanaume 75 hajaoa na pia wapo 17 wameachana na wake zao na 5 wamefiwa na wake zao.... naamini hutakosa mmoja wa kukuoa ...................................

Mtambuzi unaniacha hoi bhana.
Asa ukibandika hli bandiko kwa ofisi c ntasumbuliwa sana?
 
Last edited by a moderator:
kama uliokutana nao face2face awaja kuvutia nawe ujawavutia hongera njoo uku kwenye upendo wa plastic .
 
kama uliokutana nao face2face awaja kuvutia nawe ujawavutia hongera njoo uku kwenye upendo wa plastic .

Noo!
Ni hv kila binadamu ana utashi na mahala pake pa kutafuta liwazo.
Ina mana wale wanaoenda vijijini kutafuta wachumba ina maana mjini wanawake wameisha?
Cha umuhimu ni kuangalia yupi ana msimamo na yupi hana,au ni namna na jinsi wewe utakavyojiweka mbele ya hao wanaume.
Kama utataka wawe kistarehe na wewe watataka na kama utataka wawe ki serious na wewe watakuhandle vile unataka.

So Power 2 u.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom