KAMA UNA BIASHARA,SACCOs AU NGO SOMA HAPA

Pelham 1

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
548
99
Tangaza Marketing Solutions(TMS):
Ni Kampuni inayojihusisha na Advertising,Marketing & Promotions:
Lengo kuu ni kuwasaidia Wajasiriamali na Wafanyabiashara kujua Wateja wao na Wateja kujua huduma ama bidhaa walizonazo nakuweza kuwafikia kiurahisi pindi wanapohitaji mfano kimatangazo,kutoa idea mpya ya masoko.
Pia tunasaidia, Kwa wale waliobusy kufungua Biashara[Kampuni] kutokana na aina ya Biashara mteja anayotaka kufungua, kama ya Mtu mmoja[Individual] Watu wa 2 nakuendelea[Partinership] na Limited Company, Kwa muda wa siku 4 mpaka week 1 kila kitu kinakuwa tayari,nikimaanisha usajili kamili wa biashara[Business name,TIN number na Leseni ya biashara] nakukabidhiwa Mkononi au kuletewa ulipo ama Kutumiwa popote utakapokuwa: Na pia NGOs,SACCOs tunakusaidia kuzisajili kwa muda wa wiki 2 tu.Mteja kwetu ni Mfalme, Tumeshafanya kazi na Watu wengi nje ya JF na humu ndani ya Jamii Forum: Tupo Off shekilango rd, Sinza Africasana,Mabatini strt, karibu na Police Mabatini: Email tangaza4marketing@gmail.com. Mawasiliano:
0714-074040
0767-074040
0783-074040
0713-705360
 
ukweli na uwaminifu upo? na garama kiasi kusajiri Ltd?

Mkuu Sisi ni wa aminifu na wachapa kazi
Hatuwezi kuharibu sifa ya Kampuni yetu.
Kuhusu usajili wa Ltd company inategemea na mahitaji ulionayo kwa maelezo zaidi ngoja nikupm
 
Back
Top Bottom