Kama umetoswa he/she yanini kutangazana?

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,537
1,653
Inakuaje wapenzi wanapoacha wasiachane kwa wema kama ilivyokua wkt mkitongozana?mpaka muanze kutoana kasoro alizonazo mwenzako?na kashfa kemkem mala demu mwenyewe mbaya au bwana mwenyewe kafupii jamani inamaana wakati unamkubli ukuziona kasoro?
 
Wakati mnakubaliana haiwezekani mkaona kasoro!
 
koku hilo ni tatizo kubwa la sisi wabongo... watu mlikubaliana kwa wema kuwa na mahusiano, baada ya muda mkaona haiwezekani tena kuendelea na mahusiano na hapo ndio kashfa zinapoanza... Hapo kwa kweli hata mimi huwa nashangaa sana nahisi waliachana wakiwa bado wanapendana au ni kutaka kukomoana... Ila kwa watu wenye akili timamu na busara zao sitegemei kufanya mambo hayo!!!
 
kwel ila unamuona wenzio mzur kumbe wote ni wazush

Mkuu nadhani wengi huwa wanaingia kwenye mahusiano bila kujua wamedhamiria nini, yaani kila mmoja anakuwa na mawazo yake kichwani ambayo ni siri yake na mwenzake hajui.... Nahisi wengi wao (hasa wasichana) huwa wanaingia kwenye mahusiano wakitegemea kuwa wote siku zote.. Sasa inapofika kipindi kuwa ndoto zao haziendi kule walikokuwa wakitaka ndio hapo kashfa na matusi yanaanza...
 
Babu Lao hii color umeanza lini tena bana
 
Back
Top Bottom