kama umesoma business adminisrtaion hii hapa kazi itakufaa.

kagemi &tibaijuka company wanataka watu wa kufanya internship yenye malipo katika ofisi zao.kama unataka kuapply nenda kwenye.www.kagemitibaijuka.com

hyo kazi ya kutembeza vitu nini km xs marketing ndo maana umetangaza humu maana nyinyi akina tibaijuka ni wabaguzi sana wa ukabila maana kwenye organization top akiwa tibaijuka ofisi hyo hukuti mushi,wala shekalage wenyewe tu hadi lugha ya ofisi mnaongea kikwenu kudadeki hyo nimeitolea mfano ofisi ya umma,leo ndo ofisi yako wewe tibaijuka unafikiri itakuwaje hyo hela ya kutumia maombi kwenu bora nikanunue azam cola.
 
Back
Top Bottom