Kama umepita sekondari halafu hujui hii basi we kilaza

Hii ya electrochemical series

Kimbia-K
na-Na
kamata-Ca
mganga-Mg
ala!-Al
Zima-Zn
fegi-Fe
pumbavu-Pb
kulaleki-Cu
huna-Hg
ankara-Ag
au-Au
 
Halo helena lile beberu
bora chinja na ondoa figo
nene na mgeni aliye
simama pale serengeti club
arudi kwao canada.

KAMA WEWE ULISOMA
SEKONDARI HALAFU
ULIKUWA HUJUI HIYO,BASI
WEWE EITHER ULIKUWA
KILAZA/ULIKIMBIA SAYANSI.

~kama unakumbuka formula yoyote ya kucremisha iliyokuwa inatumika na wengi sekondari tupia hapa tukumbushane..

Duh, umenikumbusha yale mambo ya PERIODIC TABLE!
 
Nyingine ya sayari inasema my very educated mother just show us nine planet..

Hapo kila neno linasemama na sayari mojawapo...
 
Electrochemical series:
Popular Scientist Can Make A Zoo In Low Humid Country More Satisfactory Good.
P-Potassium
S-sodium
C-Calcium
M-Magnesium
A-Aluminium
Z-Zinc
I-Iron
L-Lead
H-(Hydrogen)
C-Copper
M-Mercury
S-Silver
G-Gold.
Shida ya njia hii ni lazima uwe unajua chemical formulae za elements hapo juu.
 
Hivi magazijuto ilikuwa kukremisha au rasmi kwamba nayo ilitakiwa itafutiwe wimbo wa kuikremisha
 
Dah, Umenikumbusha mbali sanaa
Helena= HeliumLile = Lithium
Beberu = Beryllium
Bora = Boron
Chinja = Carbon
Na = Nitrogen
Ondoa = Oxygen
Figo = Fluorine
Nene = Neon
........................

Very interesting!!

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom