kama umeoa ni bora kujua haya unaweza kupigwa for king kama kwenye draft bila wewe kujua

mmzalendo

Senior Member
Nov 1, 2010
165
1
jamii sio kwamba nimeanza tabia mbaya lakini
mimi nina hakika katabia ka wizi kila mtu anako
mimi katika pitapita nimekutana na hii sasa bora kujua
mbinu kuliko kujifanya ujali kisha ukakamatwa na kuonekana mjinga
kuna darasa sehemu jinsi ya kushika wanao danganya kwenye ndoa
bora kujua hizo mbinu ili ujikinge nazo ni utafitia halisi na sio porojo za mitaani
nimeweza kupata linki ya day 1 unaweza kutafuta day 2 iko humo humo
mimi zimenisaidia kwa kweli sio wezi kuficha www.lifeofmshaba.com: LOVE AND PASSION CLASS day 1
 
kama vile hii post haijakaa mahali pake!! ila its okay!!!

wahusika wanakuja, watachangia!!
 
Back
Top Bottom