Kama ulizaliwa mwanaume hakikisha upo fit masaa yote

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Jamaa yetu kaenda south africa kufika huko mambo ya maisha ni ovyo akafungwa miaka 10,kufika jela akagombaniwa na wafungwa wenzake walitaka kumwoa,jamaa akaona apambane lakini kwa sababu alikuwa sio fit akaishia kuolewa na jamaa huko gerezani
kama umezaliwa mwanaume jitahidi sana kujiweka fit masaa yote huwezi kujua ya kesho,Watoto wetu wa kiume tuwe nao karibu kuwasaidia kuwa fit na kuwafundisha maisha na jinsi ya kuishi hapa duniani,maisha siyo mchezo
 
nakubaliana na wewe,tuna kazi ya kuwalinda watoto wetu wa kiume
 
ni kweli,unakuta toto la kiume hata push ups tatu haliwezi!lazima asukumiwe nyama 2
 
Licha ya kuhofia mambo ya gerezani kufanya mazoezi ni muhimi kwa afya - vinginevyo u Komba utamnyemelea mtu
 
alitakiwa kuingia na mkwara walipomuuliza vipi una kesi gani yeye angejibu ya KULAWITI wangenywe, pamoja na hayo ni muhimu sana kuwa fit kimwili inasaidia vitu vingi hata kupambana na vibaka, kufanya mapenzi, kukimbia mabomu ya mbagala nk.
 
Hadithi za kutunga hizi peleka kwa Shigongo, wewe unawezaje kuhadithia mambo yaliyotokea jela wakati wewe haukuwepo jela? viadithi vya kizushi hapa sio mahali pake.
 
Wewe ni mujanja.
alitakiwa kuingia na mkwara walipomuuliza vipi una kesi gani yeye angejibu ya KULAWITI wangenywe, pamoja na hayo ni muhimu sana kuwa fit kimwili inasaidia vitu vingi hata kupambana na vibaka, kufanya mapenzi, kukimbia mabomu ya mbagala nk.
 
huu ni *****. jela huwa hawabaki wanaume kiasi hicho, ni mambo ya kuamua tu kule, ila sio unapigwa ngumi hadi ukubali huo ufirauni. nimeshatembelea magereza mara nyingi kukagua, na nimefanya uchunguzi mwingine kwa research. shauri zetu lakini hata kama iko hivyo, kwasababu mimi ninao mkanda mweusi wa shotokan karate, na blue wa shaolin kung fu.......ni mfupi kiasi, lakini hata aje mtu mrefuuuuu, namporomosha kama uyoga...na naweza pigana na watu wengi...wakati wa kupigana labda unipige ukiwa mbali, ukinisogelea, kama sijakuvunja miguuu, basi utastukia upo ICU au kaburini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom