Easymutant R I P Jun 3, 2010 2,564 1,129 Jun 1, 2011 #1 Hii lazima hii inaniacha na maswali mengi kuliko majibu....
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,641 Jun 1, 2011 #2 mnnnnnh jamaaaani....................haaya ndo dunia hyo
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Dec 21, 2010 2,697 1,962 Jun 1, 2011 #4 Lubaluka said: Mkuu iko wapi hii tena ??? Click to expand... kama kumbukumbu za macho hazijapotea........itakuwa maeneo ya nyumbani kwa akina mh. Anne Makinda.
Lubaluka said: Mkuu iko wapi hii tena ??? Click to expand... kama kumbukumbu za macho hazijapotea........itakuwa maeneo ya nyumbani kwa akina mh. Anne Makinda.
Xkalinga JF-Expert Member Sep 10, 2010 476 316 Jun 1, 2011 #7 Yaap,ujumbe mzuri sana kwa wageni wanaotembelea hapo na wengine wanaousoma!!!
U Ulimakafu JF-Expert Member Mar 18, 2011 29,026 10,673 Jun 1, 2011 #8 Jaluo_Nyeupe said: kama kumbukumbu za macho hazijapotea........itakuwa maeneo ya nyumbani kwa akina mh. Anne Makinda. Click to expand... Akina niangusage wamepata mahala pa kupumzikia.
Jaluo_Nyeupe said: kama kumbukumbu za macho hazijapotea........itakuwa maeneo ya nyumbani kwa akina mh. Anne Makinda. Click to expand... Akina niangusage wamepata mahala pa kupumzikia.
shanature JF-Expert Member Nov 15, 2010 1,302 910 Jun 1, 2011 #9 nimechoka kweli kweli sikufikiria hili nalo laweza kuwa jina la gest
NICK2275 JF-Expert Member Oct 31, 2010 3,931 918 Jun 2, 2011 #10 kweli watu tunatofautiana-sijui owner alifikiria kitu nini mpaka akatumia hili jina
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,834 155,782 Jun 2, 2011 #11 mwenye hiyo gesti lazima ni bujibuji
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Dec 21, 2010 2,697 1,962 Jun 2, 2011 #13 Ulimakafu said: Akina niangusage wamepata mahala pa kupumzikia. Click to expand... ngoja wakusikie wenyewe.
Ulimakafu said: Akina niangusage wamepata mahala pa kupumzikia. Click to expand... ngoja wakusikie wenyewe.