K karim lilanga Member Nov 22, 2011 5 0 Oct 14, 2012 #1 Makaburi mengi sana sehemu za mijini ni yale ya wajanja!take care!
Pancras Suday JF-Expert Member Jun 24, 2011 8,143 3,830 Oct 14, 2012 #3 Ha ha ha ha ha ha teh teh teh teh teh teh teh, itanibidi na mimi niwe mjanja ili ipate sehemu ya kuzikwa siku parapanda ikilia
Ha ha ha ha ha ha teh teh teh teh teh teh teh, itanibidi na mimi niwe mjanja ili ipate sehemu ya kuzikwa siku parapanda ikilia
K Kishiwa 44 Member Oct 15, 2012 11 1 Oct 16, 2012 #4 wajanja na wajinga wote ni sawa mbele za mungu.
G G wa mika Member Oct 15, 2012 9 0 Oct 16, 2012 #5 Kishiwa 44 said: wajanja na wajinga wote ni sawa mbele za mungu. Click to expand... sijacheka