Tanganyika1
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 422
- 86
duh kweli kingereza wito...mi ningeuliza, DAD WHAT NUMBER AM I ON THE LIST OF YOUR CHILDREN? Nadhani nimebutua.
father me your child of how many?Kama kweli wewe elimu yako sio ya kuuunga unga, ebu nisaidie swali hili.
Badili sentensi ifuatayo kwa kiingereza,
BABA mimi mtoto wako wa ngapi??
Ahahahaaah!!father i is children of yours how much?
Kama kweli wewe elimu yako sio ya kuuunga unga, ebu nisaidie swali hili.

Ahahahaaah!!