Kama ukisikia-Bujibuji is no more!!!!!!

Ukifa u'l b famous!! And... As usual we will all find every lovely word we could find to define you...! though we would have felt the gape.. So may u live 150 more yearz.
 
.... Hii si mara ya kwanza kwa JF MEMBER ... kujitangazia **** ....Miaka ya Mwanzoni kabisa Jukwaa lilipoanzishwa ....
Alifanya ... Na I tell you it was bad ...!!!!!! ... watu walilia na kuomboleza ...just to realise ..hadi leo ana POST!!!
 
Mkuu mpaka leo unaenda kwa waganga wa kienyeji? Unaona matatazo yake,amekutabiria .........
 
Bujibuji, cha muhimu si watu watasema nini wakisikia umekufa, muhimu ni wewe unafanya nini kujitayarisha na kifo chako wakati upo hai.

Waislaam tuna amini kuwa tunatembea na umauti na unaweza kutufika wakati wowote, mahali popote. Umauti hauna taarifa wala udogo wala uzee, hauna mzima wala mgonjwa, hauna mzuri wala mbaya. Upo na tunatembea nao.

Tuwe wacha Mungu, watenda mema, tujitahidi katika sadaka zitakazotusaidia hata tukisha kufa (Swadakat'uljaria). Kama kutowa elimu, kuwalea watoto zetu wawe wema, kuchimbisha visima, kujenga mashule na misikiti.

Nadhani bujibuji una point nzuri sana lakini ungeielekeza kuwa una/tuna jitayarisha vipi na umauti ingeleta raha zaidi.

Ukifa, watu watasikitika dakika moja au siku moja au wiki moja au mwaka mmoja lakini watakusahau na kuendelea na mambo yao. Muhimu ni vipi tunajitayarisha kuukabili umauti wetu.
 
Kweli mawazo yako yanaendana na jina lako!!!!Kweli we ni Bujibuji,uliwaza nini!!!!usijitabirie mambo mengine,tutakusahau kweli!!!NYAMBAFFFFFFFFFFFFF!!
 
BujiBuji kifupi umejivunjia sana, yaani jinsi ulivyopondwa na watu ndivyo jinsi watu walivyochukia thread hii. Ok, hakuna shida siku nikisikia umekufa na umezikwa kabisa nitasikitika sana maana nitajua sitakuona tena na ndiyo mwisho wa kuona tena michango yako jukwaani, mwisho nitakuombea Mungu akualaze mahala pema peponi. Najua hujafa ila bible inasema baada ya kifo ni hukumu.
 
Back
Top Bottom