Kama Tunatumia JWTZ Kupambana na Majangiri, na Kwenye Madini Tufanye Hivyohivyo

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Madini yetu yanaibwa kwa ustadi mkubwa, mchana kweupe, hata viwanja vya ndege vinavyotumika kutekelaza huo wizi vimetajwa. Mwizi ni mwizi tu. Mwizi wa meno ya tembo au mwizi wa madini...wote wezi na lazima tuwakabili kwa kipimo sawa, hasa hawa wezi wa madini.

Maoni yangu: Tutumie JWTZ kotekote.

Vinginevyo serikali itaibua mgogoro mwingine wa kifikra.
 
Akina Shimbo na bosi wao Mwinyi au nani hao!!!???
 
askari wa game wanaweza wakiwezeshwa,tuimarishe vikosi vya game kwanza.Jwtz kwa hiyo operation tu gharama zake kiama na utaambiwa usiulize mambo ya usalama!
 
Tatizo kwenye madini kuna maslahi ya wakubwa ndo maana hawasemi na hawataki ionekane ni wizi. kule Liganga ( Ludewa) wawekezaji wa uchimbaji makaa ya mawe na kufua chuma wameomba miaka mitano kujaribu kama chuma ya hapo itakuwa strong enough na hivyo wapewa mkataba wa majaribio wa miaka mitano ikifuka miaka minne watasema wameshishindwa itakuja kampuni nyingine nayo itafanya hivyo hivyo mpaka chuma kinakwisha watu wanajaribu tu. NI UJUHA WETU TTUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Madini yetu yanaibwa kwa ustadi mkubwa, mchana kweupe, hata viwanja vya ndege vinavyotumika kutekelaza huo wizi vimetajwa. Mwizi ni mwizi tu. Mwizi wa meno ya tembo au mwizi wa madini...wote wezi na lazima tuwakabili kwa kipimo sawa, hasa hawa wezi wa madini.

Maoni yangu: Tutumie JWTZ kotekote.

Vinginevyo serikali itaibua mgogoro mwingine wa kifikra.

JWTZ wasiokuwa na nidhamu! Si ndio hawa kila kukicha wanapiga raia hovyo .. ... ... AIBU nchi hii sijui tutajificha wapi?
 
Back
Top Bottom