Kama tunamwogopa vile.........tunamsema sana lakini hatuchukui hatua!

Nov 13, 2010
91
7
rostam_5.jpg

Roast Tamu
 
Amependeza yaani nadhifu sana,afya yake nzuri na murua imejengwa na kodi yetu wadanganyika.Ila watu wa Igunga!!!!!! sijajua kama ni wazalendo kwani ilitakiwa wamkane huyu mtu.
 
Tutangazei maandamano ya kushinikiza kufukuzwa nchini kwetu arudi kwao Iran
 
I can hear water starting to boil in the kitchen..... just wait a minute we're working on it.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom