Kama tuna mikataba 22 na Morocco, tunayo mingapi na Marekani?

Joel Johansen

JF-Expert Member
May 12, 2016
242
319
Wadau,

Nimejaribu kuwaza tu, kichwa cha habari kinajieleza. Pia kwa kuongezea, mbona mikataba mingine huwa haitangazwi kwa Press conference, why this one?
 
Ndugu yangu wewe acha tu,kesho tena atakuja mlibya na vita zao atudhamini.alafu hamna tofaut sasa na zamani wazungu walipotuibia
 
Pengine ni vizuri tukabadili FIKRA. Ili jambo lolote liweze kufanikiwa ni muhimu yakawepo makubaliano baina ya pande husika. Kwa tafsiri lahisi makubaliano haya ni mikataba.

Pengine jambo la msingi ni kuhakikisha makubaliano (mikataba) inakuwa na faida kwetu kama Taifa. Haijalishi ni mikataba mingapi?
 
Wadau,

Nimejaribu kuwaza tu, kichwa cha habari kinajieleza. Pia kwa kuongezea, mbona mikataba mingine huwa haitangazwi kwa Press conference, why this one?
Kuna mikataba mingine ina miaka mia moja over wana mawasiliano na Mungu wataishi miaka hiyo hii nchi ina miujiza ya ajabu kabisa
 
Wadau,

Nimejaribu kuwaza tu, kichwa cha habari kinajieleza. Pia kwa kuongezea, mbona mikataba mingine huwa haitangazwi kwa Press conference, why this one?
Nawaza tu wakuu nisaidieni.Nilikuwa mbali na vyombo vya habari,katika mikataba na moroco mbali na msikiti na uwanja ni vitu gani vingine vilivyotajwa na media kuwemo katika mikataba hii?
 
Wadau,

Nimejaribu kuwaza tu, kichwa cha habari kinajieleza. Pia kwa kuongezea, mbona mikataba mingine huwa haitangazwi kwa Press conference, why this one?

Naona this time wamekuwa wazi zaidi. Mimi nilitamani kujua JK alisaini nini Xi Ping? anaweza kuwa alimzawadia tembo wote.
 
1477395053469.jpg
 
pia je,kuna idara inayoshughulika na execution ya hiyo mikataba? au baada ya hapo inakula vumbi kabatini.

morocco mikataba 22,marekani inaweza kuwa laki mbili
 
Akikaa nchini mnapiga makelele mnasema rais hatembei kwa sababu ya tatizo la lugha ya kingereza.

Wakija wenyewe kutoka huko nje kwa nia ya kufanya biashara za ushirikiano, mnaendeleza maneno ya kwenye viti virefu vya bar. Hayo mambo mawili uliyoyaongelea ni sehemu ndogo sana ya ushirikiano wa kibiashara.

Jifunzeni mengi yaliyo halisi, ili mkomae kisiasa na kimikakati, vinginevyo 2020 sioni mkiambulia hata nusu ya kura mlizozipata mwaka jana.
 
Back
Top Bottom