Kama siyo Lema awe nani?

CDM ina watu wengi naona sio hoja ya kujadili. Tujenge uwezo zaidi ili tuwe nao zaidi yeyote naamini atakaye teuliwa najua atakua kifaa tu kwa kuwa CDM haina mavuvuzela
 
Wanabodi
Nimetafakarikwa kina kuhusu hatma ya uwakilishi wa jimbo la Arusha mjini.Mahakama imetoa hukumu ya kihuni mno,imejidhalilisha sana.Natambua kuwa CHADEMA imeipinga na kukataa rufaa.Ushauri wangu kwa viongozi wa CHADEMA kuwa uwezekano wa kushinda rufaa ni mdogo,hasa ikizingatiwa kuwa Lema hatakiwi kabisa na mfumo,hivyo ni muda mwafaka wa CDM kujiandaa na kumwandaa kamanda mwingine atakayegombea jimbo hilo,na hapa nikamkumbuka Nanyaro diwani wa levolosi.
Huyu Nanyaro i kamanda wa ukweli,ni mtaratibu,mpole,ila mwenye hekima na kipaji cha uongozi,nimezungumza na makundi kadhaa hapa A town,na wengi wanamwamini sana,wengi wanaamini ndiye nguzo kuu ya cdm hapa Arusha,na ushindi wa Lema alichangia kwa asilimia kubwa,imani kubwa imejengwa baada ya kuanza kutekeleza ahadi zake kwa wanalevolosi hasa ujenzi mkubwa wa barabara unaoendelea.Cdm msimamisheni Nanyaro Arusha mjini.Wengi wanamfanisha Lema na Nanyaro kama Musa na Joshua,kuwa Musa aliwatoa wana wa Israel misri ila Musa hakufika nchi ya ahadi,bali aliyewafikisha ni Joshua(Nanyaro)
 
Mkuu fikra zangu na zako zinashabiana ndicho ambacho nimekiwaza leo asubuhi na nilitaka kufanya utafiti ikiwa Nanyaro ankubalika kwa hata hivyo yeye bado ni diwani.
 
System inayomuhitaji LEMA usiilinganishe na Serikali ya CCM, Sasa kama hawamuhitaji huoni ni vile YUKO kwenye system nyingine Kuubwa kuliko??? Ulitaka serikali imuhitaji kwa kazi gani maana yeye ni mkweli wao ni waongo, watamuhitaji ili afanye kazi gani nao??
 
Wanabodi
Nimetafakarikwa kina kuhusu hatma ya uwakilishi wa jimbo la Arusha mjini.Mahakama imetoa hukumu ya kihuni mno,imejidhalilisha sana.Natambua kuwa CHADEMA imeipinga na kukataa rufaa.Ushauri wangu kwa viongozi wa CHADEMA kuwa uwezekano wa kushinda rufaa ni mdogo,hasa ikizingatiwa kuwa Lema hatakiwi kabisa na mfumo,hivyo ni muda mwafaka wa CDM kujiandaa na kumwandaa kamanda mwingine atakayegombea jimbo hilo,na hapa nikamkumbuka Nanyaro diwani wa levolosi.
Huyu Nanyaro i kamanda wa ukweli,ni mtaratibu,mpole,ila mwenye hekima na kipaji cha uongozi,nimezungumza na makundi kadhaa hapa A town,na wengi wanamwamini sana,wengi wanaamini ndiye nguzo kuu ya cdm hapa Arusha,na ushindi wa Lema alichangia kwa asilimia kubwa,imani kubwa imejengwa baada ya kuanza kutekeleza ahadi zake kwa wanalevolosi hasa ujenzi mkubwa wa barabara unaoendelea.Cdm msimamisheni Nanyaro Arusha mjini.Wengi wanamfanisha Lema na Nanyaro kama Musa na Joshua,kuwa Musa aliwatoa wana wa Israel misri ila Musa hakufika nchi ya ahadi,bali aliyewafikisha ni Joshua(Nanyaro)

HApo kwenye red "MITANZANIA KAMA WEWE NDO INATURUDISHA NYUMA" nani kakwambia lema Hatakiwi?
Nakuhakikishia LEMA ATARUDI BUNGENI hacha kuwa na AKILI KAMA ZA MASABURI NA LUSINDE
 
Tusubiri NEC ya CHADEMA ikae halafu natumaini watakuja na uamuzi mzuri kwakua najua Chadema si watu wakukurupuka.
 
Subiria rufaa,lema is da only one.WEE NANYARO UPO VIZURI ILA JUKWAA HULIWEZI.acha kujipigia promo,mbona unazalisha embarasment? Kaka 2lia kwanza
 
Wanabodi
Nimetafakarikwa kina kuhusu hatma ya uwakilishi wa jimbo la Arusha mjini.Mahakama imetoa hukumu ya kihuni mno,imejidhalilisha sana.Natambua kuwa CHADEMA imeipinga na kukataa rufaa.Ushauri wangu kwa viongozi wa CHADEMA kuwa uwezekano wa kushinda rufaa ni mdogo,hasa ikizingatiwa kuwa Lema hatakiwi kabisa na mfumo,hivyo ni muda mwafaka wa CDM kujiandaa na kumwandaa kamanda mwingine atakayegombea jimbo hilo,na hapa nikamkumbuka Nanyaro diwani wa levolosi.
Huyu Nanyaro i kamanda wa ukweli,ni mtaratibu,mpole,ila mwenye hekima na kipaji cha uongozi,nimezungumza na makundi kadhaa hapa A town,na wengi wanamwamini sana,wengi wanaamini ndiye nguzo kuu ya cdm hapa Arusha,na ushindi wa Lema alichangia kwa asilimia kubwa,imani kubwa imejengwa baada ya kuanza kutekeleza ahadi zake kwa wanalevolosi hasa ujenzi mkubwa wa barabara unaoendelea.Cdm msimamisheni Nanyaro Arusha mjini.Wengi wanamfanisha Lema na Nanyaro kama Musa na Joshua,kuwa Musa aliwatoa wana wa Israel misri ila Musa hakufika nchi ya ahadi,bali aliyewafikisha ni Joshua(Nanyaro)
mtaratibu, mpole na mwenyekipaji cha uongozi kuliko nani?
 
Nanyaro bado sana sidhani kama CDM watakuli kumsimamisha nafasi ya udiwani imemshinda itakuwa ubunge.
 
Wanabodi
Nimetafakarikwa kina kuhusu hatma ya uwakilishi wa jimbo la Arusha mjini.Mahakama imetoa hukumu ya kihuni mno,imejidhalilisha sana.Natambua kuwa CHADEMA imeipinga na kukataa rufaa.Ushauri wangu kwa viongozi wa CHADEMA kuwa uwezekano wa kushinda rufaa ni mdogo,hasa ikizingatiwa kuwa Lema hatakiwi kabisa na mfumo,hivyo ni muda mwafaka wa CDM kujiandaa na kumwandaa kamanda mwingine atakayegombea jimbo hilo,na hapa nikamkumbuka Nanyaro diwani wa levolosi.
Huyu Nanyaro i kamanda wa ukweli,ni mtaratibu,mpole,ila mwenye hekima na kipaji cha uongozi,nimezungumza na makundi kadhaa hapa A town,na wengi wanamwamini sana,wengi wanaamini ndiye nguzo kuu ya cdm hapa Arusha,na ushindi wa Lema alichangia kwa asilimia kubwa,imani kubwa imejengwa baada ya kuanza kutekeleza ahadi zake kwa wanalevolosi hasa ujenzi mkubwa wa barabara unaoendelea.Cdm msimamisheni Nanyaro Arusha mjini.Wengi wanamfanisha Lema na Nanyaro kama Musa na Joshua,kuwa Musa aliwatoa wana wa Israel misri ila Musa hakufika nchi ya ahadi,bali aliyewafikisha ni Joshua(Nanyaro)

LEMA KWANZA WENGINE BAADAYE, NARUDIA LEMA KWANZA. Chadema ikiingia huo mtego wa kuvuruga safu yake nayo itakufa. Adui muombee njaa, ARUSHA tunamtaka LEMA kama tulivyompigia kura, hata kama alitukana kwani matusi yanapiga kura???? kwani mawaziri wangapi wametukana tena taifa sio mtu au kikundi cha watu bado ni mawaziri?? mtakula nyasi, pigie mbizi, kila mtu atauchukua mzigo wake wakati wao wakibeba mzigo wa manyoya na sisi kutufungia mizigo ya misumari, ufisadi nk.
 
HApo kwenye red "MITANZANIA KAMA WEWE NDO INATURUDISHA NYUMA" nani kakwambia lema Hatakiwi?
Nakuhakikishia LEMA ATARUDI BUNGENI hacha kuwa na AKILI KAMA ZA MASABURI NA LUSINDE

Hajakosea kwani hata mfumo wa CHADEMA, unataka mtu mtaratibu, mpole, mwenye hekima na mwenye kipaji cha uongozi, sifa ambazo siyo siri Lema hana. Viongozi wenyewe wamegundua ni mzigo kwao. Huyo alieleta hii thread mwenyewe ni Kongozi wa CHADEMA mkuu, Lema wamemchoka.
 
Wanabodi
Nimetafakarikwa kina kuhusu hatma ya uwakilishi wa jimbo la Arusha mjini.Mahakama imetoa hukumu ya kihuni mno,imejidhalilisha sana.Natambua kuwa CHADEMA imeipinga na kukataa rufaa.Ushauri wangu kwa viongozi wa CHADEMA kuwa uwezekano wa kushinda rufaa ni mdogo,hasa ikizingatiwa kuwa Lema hatakiwi kabisa na mfumo,hivyo ni muda mwafaka wa CDM kujiandaa na kumwandaa kamanda mwingine atakayegombea jimbo hilo,na hapa nikamkumbuka Nanyaro diwani wa levolosi.
Huyu Nanyaro i kamanda wa ukweli,ni mtaratibu,mpole,ila mwenye hekima na kipaji cha uongozi,nimezungumza na makundi kadhaa hapa A town,na wengi wanamwamini sana,wengi wanaamini ndiye nguzo kuu ya cdm hapa Arusha,na ushindi wa Lema alichangia kwa asilimia kubwa,imani kubwa imejengwa baada ya kuanza kutekeleza ahadi zake kwa wanalevolosi hasa ujenzi mkubwa wa barabara unaoendelea.Cdm msimamisheni Nanyaro Arusha mjini.Wengi wanamfanisha Lema na Nanyaro kama Musa na Joshua,kuwa Musa aliwatoa wana wa Israel misri ila Musa hakufika nchi ya ahadi,bali aliyewafikisha ni Joshua(Nanyaro)

mbona mchecheto? Hofu ya nini? Usihangaike na kesho, kesho itajihangaikia yenyewe! CDM kuna mambo mazuri, mikakati mizuri na wanachama na viongozi wao thabiti!
 
Hajakosea kwani hata mfumo wa CHADEMA, unataka mtu mtaratibu, mpole, mwenye hekima na mwenye kipaji cha uongozi, sifa ambazo siyo siri Lema hana. Viongozi wenyewe wamegundua ni mzigo kwao. Huyo alieleta hii thread mwenyewe ni Kongozi wa CHADEMA mkuu, Lema wamemchoka.

kengemaji usiconclud wala kuwalisha maneno viongozi.nikiwa kama mmoja wao lema 2namhitaji sana WEE KENGE.umepotelea wapi magmba ama mtokeo ya meru..aibu
 
Itakuwa sio kumtendea haki Mh. Lema kukubaliana na wazo lako Mkuu.. CCM sio waliomuweka pale kwenye ubunge ni wananchi wa Arusha kwa hiyo mbinu za kidhalimu lazima zipingwe kwa nguvu zote.. Pia kwa wazo lako itajenga precedent kwa viongozi waovu kujiona wana uwezo wa kuwaondoa viongozi wa watu muda wowote waupendao.. Na vle vle kuna hukumu ya kidhalimu ambayo itabidi iwe quashed otherwise inaweza kutumika katika kesi za usoni katika kutoa hukumu zifananavyo.. Sheria zikifuatwa Mh. Lema atarudishiwa ubunge wake..
 
Huyu alieanzisha huu uzi ni diwani aliefukuzwa rasta..CHARLES MPANDA.ana chuki na Lema toka ktk kampeni.
 
Sikubaliana na wewe kwani tunataka mtu msomi ambaye tunaweza kukaa nae ma kuapanga mambo ya maendeleo ya Jimbo letu. Namfahamu Nanyaro vizuri sana hana uwezo wa kuwa mbunge. Tumejifunza kwa Lema ni mzuri kwenye kuhamasisha lakini si ubunge.
 
Back
Top Bottom