Kama siyo Lema awe nani?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Ushauri wangu ni huo. Inaonekana magamba wameanza kupumua kukosekana kwa jembe hili Bungeni. Dr wa ukweli arudi kuwahenyesha zaidi kwa ufisadi wao.
 
Hamna, slaa atulie tu ili mwaka 15 aingie ikule, lema bado jembe na lile bunge ni lake, ni kama kasimamishwa kwa hyo miezi 2 tu then july anarudi mjengoni.
 
Siungi mkono hoja...

Dr Slaa anafanya kazi kubwa sana ya kujenga chama. Hii stability iliyopo CDM kwa sasa ni kazi ya Dr Slaa, ukimuongezea majukumu mengine maana yake kuna mambo yatadorora, hasa kukijenga chama. Pia akigombea mtu mwingine anayekubalika itakuwa imeongeza wigo wa viongozi ndani ya chama. Kumbuka CDM huenda ikachukua nchi 2015 usitegemee akina Zitto na Mnyika kuchukua nafasi zote, lazima chama kiwape nafasi watu wengi zaidi. Hujiulizi kwa nini Dr Slaa anawanyima usingizi magamba? Kwa nini Kichaa Lusinde alikuwa anamtukana zaidi Dr kuliko watu wengine kwenye kampeni?
 
Ushauri wangu ni huo. Inaonekana magamba wameanza kupumua kukosekana kwa jembe hili Bungeni. Dr wa ukweli arudi kuwahenyesha zaidi kwa ufisadi wao.

Hii hoja niliitarajia, nilikuwa nasubiri tu kuona nani kaianzisha na sababu zake ni zipi.
Hata arumeru visingizio vilikuwa vya namna hii lakini mwisho wa siku arumeru mashariki wamejipatia mbunge bora kabisa na makini.
Kimsingi siungi hoja mkono hata kidogo. Dr. Slaa alishahama huko majimboni na wanachama wenye uwezo mkubwa ni wengi sana kwahiyo ni nafasi yao kuonyesha uwezo.
 
Slaa ana kazi ya muhimu sana ya kujenga chama ubunge si size yake tena, huo ushauri ni wa magamba, mtu wa chadema hawezi shauri hivi.
 
Kuingia kwa slaa bunge kwa kipindi hichi me siungi mkono.wanaweza kumuambukiza bure.chamsingi ni asubilie kuingia ikulu na sio bungeni
 
Hata mimi nilikua na wazo kama hili awali tu hukumu iliposomwa, lakin akili ilipotulia sikuona sababu za msingi sana DR kusimama pale, naomba CDM Iteue jembe jipya la kusimamia pale, CDM Inavchwa vya kutosha na pia ni faida zaidi kwa badaa.
 
wakati wa dr na ubunge umekwisha ni wakati wake wa kuchukua majukumu makubwa ya kitaifa na wala si ya jimbo.
 
Siungi mkono hoja...

Dr Slaa anafanya kazi kubwa sana ya kujenga chama. Hii stability iliyopo CDM kwa sasa ni kazi ya Dr Slaa, ukimuongezea majukumu mengine maana yake kuna mambo yatadorora, hasa kukijenga chama. Pia akigombea mtu mwingine anayekubalika itakuwa imeongeza wigo wa viongozi ndani ya chama. Kumbuka CDM huenda ikachukua nchi 2015 usitegemee akina Zitto na Mnyika kuchukua nafasi zote, lazima chama kiwape nafasi watu wengi zaidi. Hujiulizi kwa nini Dr Slaa anawanyima usingizi magamba? Kwa nini Kichaa Lusinde alikuwa anamtukana zaidi Dr kuliko watu wengine kwenye kampeni?

Well said Ulukolokwitanga!
My take is: The gap left by Lema mjengoni is significant but only very temporal. Haihitaji nguvu kubwa kihivyo kudili nalo!
 
Wapendwa wana jf wa Arusha na Tanzania nzima.Hivi kama Kipenzi chetu Lema akizuiliwa kugombea, Chadema imsimamishe nani? Kwanini tusiwaombe viongozi wa cdm wamsimamishe Bata au Nguruwe halafu tumpitishe kwa ushindi wa kishindo kwa ajili tu ya kuyakomoa magamba? Nawasilisha.
 
awe wewe, yani umejiunga na JF ili uulize hivyo tu?
 
Back
Top Bottom