Kama sio DR. Slaa, Godbless Lema ndiye Rais 2015

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,656
2,250
Namtofautisha G. Lema na wanasiasa bali mwanaharakati aliyekamilika. Mtu mwenye uwezo wa kuhoji chochote bila kuogopa mtu.
Nakumbuka alihoji kushinda kwa kesi ya Zombe bungeni, Ulongo wa waziri mkuu na kuwasihi polisi kuangalia uma zaidi ya watawala. Hakukubali uhuni kwenye uchaguzi wa meya wala mwafaka wa kijinga.

Pili anamsimamo kitu ambacho wanasiasa wengi wanakikosa. Pamoja na kuvuliwa ubunge na kujaribu kuvutwa Lema yuko palepale. Ni tofauti sana ona wanasiasa kama Kafulila na Hamadi wabunge wa mahakama walivyopoa wakimwangalia JK Kwa jicho la upole ili aongee na majaji vizuri. Unamkumbuka Zito wa awali na yule wa baada ya kuwekwa kwenye Tume ya kuchunguza mikataba ya madini. Tume ile ilifanya kazi moja tu kumnyamazisha kabisa zito na kumuweka karibu na JK Na ilifanikiwa 100%.

Namfananisha na hayati Chacha Wangwe. Aliwahi kukataa dhamana kuwa bora afie jela kwani mikesi imekua mingi na inampotezea muda. Lema hana kiburi bali anamsimamo

Kikubwa zaidi hana papara kama wengi wanavyozani ndiomaana wakatiwote si mtu wa kutumbulia macho madaraka makubwa ndani ya chama au nchi yake japokuwa anajina na uwezo mkubwa. Kama ilivyo kwa Zitto au M.

Sijui elimu yake lakini ata kama ni form 4 poa tu kwani kawawa alikuwa waziri mkuu

hakuna mwanasiasa aliyehimili mikikimikiki kama G. Lema. John Mnyika sawa ila hana madhara kwenye harakati na hajapata misukosuko tukampima.

Nchi hii imejaa wezi wa mali ya uma na wanaiba waziwazi bila kificho tunaitaji mtu anaweza kukemea waziwazi bila kutumia nahau au tafsida. Mtu mwenye msimamo mkali na mzalendo kama G. Lema.
 
Tuna tatizo sana Tanzania, rais ni zaidi ya uanaharakati

Ni sawa na kusema Che Guevara awe rais etc

Mimi Lema ningesema awe waziri wa wizara sugu na awe anarotate kwenye kazi
 
Hongera kwa kumsifu mtu akiwa hai. Maana watu wetu wamezoea kumsifu mtu akiwa kwenye Jeneza. tukiwa na raisi wa namna hii nchi hii itakwenda!
 
Lema anafaa kuwa aidha waziri mkuu au waziri asiyekuwa na wizara maalum kwani akiwa rais ni ngumu sana yeye kuwa mtendaji mkuu
 
Mkuu mshumbushi hata Mimi nipo CDM lakini wewe unataka kuleta matatizo na hii thread Ngoja wakina Ritz , Zomba , mafilili na Rejao waamke upambane nao mwenyewe Mimi sitii tena mouse yangu kwenye hii thread
 
Wanaowaza uraisi na madaraka ndani au nje ya CHADEMA huu uzi utawauzi sana au kuwagombanisha na Lema.

Nimeangalia hali ya nchi ilipofikia. Nani mwenye ujasiri na akipata bunduki anaweza kumuua nyani kwa kumwangalia usoni.

Zitto haaminiki uliza aliosomanao chuo alivyowageuka wenzake na kupuuza madai ya wanachuo baada ya kupata madaraka chuo kikuu.

John mnyika ni mtulivu na busara lakini hajapata msukosuko na vishawishi kupima uzalendo wake

Mbowe anabusara, mvumilivu na siasa za kati kiasi. Sa nji hii inaongozwa na wendawazimu ambao kwa kutumia busara hawawezi kukuelewa.

Kama majambazi kama Mkapa na Rowasa wanakuwa maraisi kwanini Lema aushindwe.

Kama Slaa akisema hagombei raisi atakaetufaa ni G lema
 
CHADEMA ni chama changu lakini kwa hili nataka niwaambie kuwa Lema hajafikia standards za kuwa waziri... thinking yake iko very narrow...talk about Mnyika ,Mdee or Zitto i will understand the subject...
 
Namtofautisha G. Lema na wanasiasa bali mwanaharakati aliyekamilika. Mtu mwenye uwezo wa kuhoji chochote bila kuogopa mtu.
Nakumbuka alihoji kushinda kwa kesi ya Zombe bungeni, Ulongo wa waziri mkuu na kuwasihi polisi kuangalia uma zaidi ya watawala. Hakukubali uhuni kwenye uchaguzi wa meya wala mwafaka wa kijinga.

Pili anamsimamo kitu ambacho wanasiasa wengi wanakikosa. Pamoja na kuvuliwa ubunge na kujaribu kuvutwa Lema yuko palepale.
Ni tofauti sana ona wanasiasa kama Kafulila na Hamadi wabunge wa mahakama walivyopoa wakimwangalia JK Kwa jicho la upole ili aongee na majaji vizuri. Unamkumbuka Zito wa awali na yule wa baada ya kuwekwa kwenye Tume ya kuchunguza mikataba ya madini. Tume ile ilifanya kazi moja tu kumnyamazisha kabisa zito na kumuweka karibu na JK Na ilifanikiwa 100%.

Namfananisha na hayati Chacha Wangwe. Aliwahi kukataa dhamana kuwa bora afie jela kwani mikesi imekua mingi na inampotezea muda. Lema hana kiburi bali anamsimamo

Kikubwa zaidi hana papara kama wengi wanavyozani ndiomaana wakatiwote si mtu wa kutumbulia macho madaraka makubwa ndani ya chama au nchi yake japokuwa anajina na uwezo mkubwa. Kama ilivyo kwa Zitto au M.

Sijui elimu yake lakini ata kama ni form 4 poa tu kwani kawawa alikuwa waziri mkuu

hakuna mwanasiasa aliyehimili mikikimikiki kama G. Lema. John Mnyika sawa ila hana madhara kwenye harakati na hajapata misukosuko tukampima.

Nchi hii imejaa wezi wa mali ya uma na wanaiba waziwazi bila kificho tunaitaji mtu anaweza kukemea waziwazi bila kutumia nahau au tafsida. Mtu mwenye msimamo mkali na mzalendo kama G. Lema.

Either umetumia next level ya intelligence kutuhadaa kuwa hufahamu jina lake vizuri(nakupongeza)..au kweli hulijui,which makes it look awkward sababu tayari unajua mengi aliyofanya.

Either way,sio mbaya mkuu..Lema ni kiongozi shupavu na sote tunamkubali. Baada ya CCM kuwa chama cha upinzani hapo 2015 hakika yabidi akabidhiwe sehemu nzuri ya usimamizi kwenye serikali ya vuguvugu la mabadiliko.

M4C..now and always.
 
Namtofautisha G. Lema na wanasiasa bali mwanaharakati aliyekamilika. Mtu mwenye uwezo wa kuhoji chochote bila kuogopa mtu.
Nakumbuka alihoji kushinda kwa kesi ya Zombe bungeni, Ulongo wa waziri mkuu na kuwasihi polisi kuangalia uma zaidi ya watawala. Hakukubali uhuni kwenye uchaguzi wa meya wala mwafaka wa kijinga.

Pili anamsimamo kitu ambacho wanasiasa wengi wanakikosa. Pamoja na kuvuliwa ubunge na kujaribu kuvutwa Lema yuko palepale. Ni tofauti sana ona wanasiasa kama Kafulila na Hamadi wabunge wa mahakama walivyopoa wakimwangalia JK Kwa jicho la upole ili aongee na majaji vizuri. Unamkumbuka Zito wa awali na yule wa baada ya kuwekwa kwenye Tume ya kuchunguza mikataba ya madini. Tume ile ilifanya kazi moja tu kumnyamazisha kabisa zito na kumuweka karibu na JK Na ilifanikiwa 100%.

Namfananisha na hayati Chacha Wangwe. Aliwahi kukataa dhamana kuwa bora afie jela kwani mikesi imekua mingi na inampotezea muda. Lema hana kiburi bali anamsimamo

Kikubwa zaidi hana papara kama wengi wanavyozani ndiomaana wakatiwote si mtu wa kutumbulia macho madaraka makubwa ndani ya chama au nchi yake japokuwa anajina na uwezo mkubwa. Kama ilivyo kwa Zitto au M.

Sijui elimu yake lakini ata kama ni form 4 poa tu kwani kawawa alikuwa waziri mkuu

hakuna mwanasiasa aliyehimili mikikimikiki kama G. Lema. John Mnyika sawa ila hana madhara kwenye harakati na hajapata misukosuko tukampima.

Nchi hii imejaa wezi wa mali ya uma na wanaiba waziwazi bila kificho tunaitaji mtu anaweza kukemea waziwazi bila kutumia nahau au tafsida. Mtu mwenye msimamo mkali na mzalendo kama G. Lema.

Subiri uchaguzi mbona unatupangia VIONGOZI!
 
Pili anamsimamo kitu ambacho wanasiasa wengi wanakikosa. Pamoja na kuvuliwa ubunge na kujaribu kuvutwa Lema yuko palepale. Ni tofauti sana ona wanasiasa kama Kafulila na Hamadi wabunge wa mahakama walivyopoa wakimwangalia JK Kwa jicho la upole ili aongee na majaji vizuri. Unamkumbuka Zito wa awali na yule wa baada ya kuwekwa kwenye Tume ya kuchunguza mikataba ya madini. Tume ile ilifanya kazi moja tu kumnyamazisha kabisa zito na kumuweka karibu na JK Na ilifanikiwa 100%.

Namfananisha na hayati Chacha Wangwe. Aliwahi kukataa dhamana kuwa bora afie jela kwani mikesi imekua mingi na inampotezea muda. Lema hana kiburi bali anamsimamo

Kikubwa zaidi hana papara kama wengi wanavyozani ndiomaana wakatiwote si mtu wa kutumbulia macho madaraka makubwa ndani ya chama au nchi yake japokuwa anajina na uwezo mkubwa. Kama ilivyo kwa Zitto au M.

Sijui elimu yake lakini ata kama ni form 4 poa tu kwani kawawa alikuwa waziri mkuu

Mshumbuzi,

Hilo lako la kumpigia mtu debe kwa kukutekenya kwa hoja moja-mbili-tatu tu hivi, na ukamsamehe hata kama kakimbia shule, ni jambo la kusikitisha sana. Ila tu naomba ukumbuke, huu ni mwaka 2012 na sio 1963
. Telegram sio tena barua ya haraka, kuna internet 4G na zaidi. Tunahitaji mtu ambaye angalau anaweza kutafiti matatizo yetu kwenye mitandao ya ki-academia. Form 4 hayawezi hayo.

Of note; naona jina 'lako' hulifahamu vizuri, ni Mshumbuzi na sio Mshumbusi.
 
Napenzi yamekupofua huoni wala husikii kwa Lema, unamfananisha na Zitto duh! kweli kupenda upofu.
 
Naona mtoa mada hamjui mtu anayemsifia.

CDM bwana wao wana kauli kwamba hata ukiweka jiwe litashinda! Hii kauli siipendi

Pamoja mkuu:
Embu tujiulize kidogo, kwa style hii taifa linaenda kudondokea wapi, kama sio kwenye matope mazito ya volkano!
Upofu wa mapenzi, watanzania wanaona chui(chadem), lakini wanamfuata kumkumbatia wakijiaminisha ni kondoo, yote haya ni huku kujeruhiwa na simba (ccm) kunatuchanganya akili, wezi wengine na wajanja wengine wanatumia mateso na unyonge wetu kutokana na uozo wa ccm, kutulubuni na kututawala! Lakini ni dhambi kubwa kumuongoza kipofu shimoni kwa sababu tu ya udhaifu wake, na usitarajie huonekani, UNAONEKANA NA UTAADHIBIWA INAVYOSTAHILI. "mchunguzeni kwa makini sana anayelia sana msibani"
Tunataka kiongozi mzalendo na mbunifu kwa nchi yake, huyu HAJAWAI KUWEPO KWENYE KITU KIITWACHO SIASA, siasa ni ya WANASIASA si VIONGOZI. Alafu chonde sana, tofautishe wanasiasa na wanaharakati, wanaojiita wanaharakati ndani ya vyama vya siasa ni sawa na wapumbavu. Kwasababu, mwanasiasa yoyote ni lazima atafungwa na kanuni na taratibu za siasa zilizopo. Lakini mwanaharakati hafungwi na chochote kile ila MANTIKI katika kupigania UTU katika kuleta usawa kwa jamii.
MSIHARIBU MSAMIATI HUU.
Wanasiasa wote ni vibaraka wa ukoloni mamboleo, mimi nimesema!
Mungu wetu anaita!
 
namtofautisha g. Lema na wanasiasa bali mwanaharakati aliyekamilika. Mtu mwenye uwezo wa kuhoji chochote bila kuogopa mtu.
Nakumbuka alihoji kushinda kwa kesi ya zombe bungeni, ulongo wa waziri mkuu na kuwasihi polisi kuangalia uma zaidi ya watawala. Hakukubali uhuni kwenye uchaguzi wa meya wala mwafaka wa kijinga.

Pili anamsimamo kitu ambacho wanasiasa wengi wanakikosa. Pamoja na kuvuliwa ubunge na kujaribu kuvutwa lema yuko palepale. Ni tofauti sana ona wanasiasa kama kafulila na hamadi wabunge wa mahakama walivyopoa wakimwangalia jk kwa jicho la upole ili aongee na majaji vizuri. Unamkumbuka zito wa awali na yule wa baada ya kuwekwa kwenye tume ya kuchunguza mikataba ya madini. Tume ile ilifanya kazi moja tu kumnyamazisha kabisa zito na kumuweka karibu na jk na ilifanikiwa 100%.

Namfananisha na hayati chacha wangwe. Aliwahi kukataa dhamana kuwa bora afie jela kwani mikesi imekua mingi na inampotezea muda. Lema hana kiburi bali anamsimamo

kikubwa zaidi hana papara kama wengi wanavyozani ndiomaana wakatiwote si mtu wa kutumbulia macho madaraka makubwa ndani ya chama au nchi yake japokuwa anajina na uwezo mkubwa. Kama ilivyo kwa zitto au m.

Sijui elimu yake lakini ata kama ni form 4 poa tu kwani kawawa alikuwa waziri mkuu

hakuna mwanasiasa aliyehimili mikikimikiki kama g. Lema. John mnyika sawa ila hana madhara kwenye harakati na hajapata misukosuko tukampima.

Nchi hii imejaa wezi wa mali ya uma na wanaiba waziwazi bila kificho tunaitaji mtu anaweza kukemea waziwazi bila kutumia nahau au tafsida. Mtu mwenye msimamo mkali na mzalendo kama g. Lema.

....pumba zingine bwana utamlinganishaje lema na slaa wewe,lema hafai kuwa hata kiongozi wa nyumba kumi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom