Kama sio chadema wamachinga wa Arusha wasingepewa NMC

Mtabe

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
675
96
Ndugu wadau katika kile kinachodaiwa kuwa ni mbinu chafu za nyinyiemu za kuzima moto mkali wa cdm usiozimika hivyo kutwa uwanja uliokuwa ukitumiwa na cdm kwa ajili ya mikusanyiko kwa wamachinga. Hata hivyo tunaishukuru cdm maana wao ndio chachu iliyosababisha wamachinga kupata eneo la biashara zao. Kwa hatua hiyo,bado nyinyiemu haijaweza kuzima moto wa cdm maana bado mikutano inaendelea kama kawa maeneo ya wazi yako mengi.
 
kuna tetesi kwamba week hii machinga wote waliovamia eneo la kilombero watatolewa kwa nguvu na jeshi la polisi....tunasubiri kuona damu nyingine ikimwagika coz machinga wameapa kufa wakidai haki yao....
 
God forbid
 
Hayo ni mawazo ya kipumbavu,kwani mikutano haifanikiwi ikifanyika sehemu nyingine? Kama mnaona machinga watafaidika basi mbona mnalalamika? Yani ni bora mpate kiwanja cha mikutano yenu kuliko machinga kupata sehemu yao ya kujipatia mapato? Halafu mnasema nyie mnapigania walalahoi.
 
ueleweki mkuu...naona umekurupuka...soma mada afu jipange upya...
 
majebere wewe ni kilaza ninii? Mbona huelewi vitu afu unadandia gari kwa mbele? Soma uzi uuelewe vizuri ndo uchangie
 
majebere wewe ni kilaza ninii? Mbona huelewi vitu afu unadandia gari kwa mbele? Soma uzi uuelewe vizuri ndo uchangie
hii ndio tatizo la kutazama kila jambo kichama. Nani wanao lalamika NMC kufungwa kama sio CDM utasema hawana sehemu nyingine ya kufanyia mikutano. Sasa kama imewakera kufungwa kiwanja pamoja na kuwa mnajua wanapewa machinga basi mnauchungu gani na walala hoi?
 
mnakuja kujisifu kuwa bila nyie machinga wasingepewa hiyo sehemu halafu hapo hapo mnalalamika kuwa mnafanyiwa roho mbaya kufungwa NMC. Ndio maana nikasema huu ni upuuzi.
 
Hilo halikuwa lalamiko mkuu mbona huelewi soma vizuri sentensi ya pili naya tatu ndo utaelewa nilimaanisha nini? Mikutano itafanyika mingi sana mkubwa sio NMC pekee
 
Huu sio uzi wa kwanza juu ya malalamiko ya NMC kufungwa.zungusheni maneno mnavyo taka lakini kwanza mlilalamika, sasa mnajisifu. Huu ni unafiki wa kutupa.
 
Back
Top Bottom