Kama si Nyerere, nani angekuwa Rais wa Tanzania?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Hivi mshawahi kujiuliza swali hili?

Naongelewa kuanzia TAA mpaka TANU ....

kazi kwenu manoijua historia ya siasa ya Tanzania
 
Back
Top Bottom