Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
Tanazania kuna mahakama??Wanapingana na maamuzi ya Mahakama??!
kama kuna mahakama mbona dowans walikwenda UK??
usiwe mrahisi kama carbon paper wewe.
Tanazania kuna mahakama??Wanapingana na maamuzi ya Mahakama??!
Maandamano yatasaidia kupindisha sheria?
Tanazania kuna mahakama??
kama kuna mahakama mbona dowans walikwenda UK??
usiwe mrahisi kama carbon paper wewe.
dogo masaburi yanakuwasha.
Kwa msimamo na mtazamo kama huu, ama kweli Tanzania ni ya wenyewe na wenyewe ni akina Nape, Riziwani, Mchemba na mult bilionea Rostam Azizi, sisi wengine ni wakimbizi tu.Natoa tamko haya maandamano yaanzie bilicanas kwa mbowe mpaka magogoni.Na tusiruhusu mbowe kutupiga picha na kuenda kuombea msaada kwa mabalozi na vyama wafadhili wa CDM kutoka nje kwa maslahi yake binafsi.Watanzania tupiganie nchi yetu wenyewe sio matatizo yetu watu wanayafanya dili kama tulivyo andamana kanda ya ziwa,mby,iringa nk huku wananchi tukizani tumepata mkombozi kumbe nao wanatufanya chanzo cha mapato kutoka kwa wahisani.CDM wanatumia matatizo ya watanzania kama NGO za tanzania wanavyotumia matatizo ya watanzania kujipatia maslahi binafsi.wakazi wa ubungo hawata kuuliza mnyika umetoa matamko mangapi pale makao makuu chadema2015 bali watauliza ahadi ulizo ahidi mbona hujatekeleza?
Maandamano yatasaidia kupindisha sheria?
Tamko hilo limetolewa na ndugu John Mnyika
Amesema cdm inaitaka serikali kutoa tamko la kutolipa pesa hiyo ndani ya siku 30 zaidi ya hapo yataitishwa maandamano ya nchi nzima!
kwa hy tukae tukisubiri huruma ya MUNGUKama serikali ni ya kifisadi kwa kiasi ambacho Chadema wanawahakikishia wananchi. Kumbe maandamano kupinga malipo ni kupoteza muda, kwa sababu hata wasipolipa bado hakuna hakika kama hiyo pesa itatumika kwa maslahi ya umma. As for me, thats pure politics jamaa. Kutumia kila kete itakayoweza kukusaidia kuchukua madaraka, wananchi tunaweza kunufaika lakini siyo kwa "nia njema" ya wanavyama. Hawajawahi kuwa na nia njema, hawana na hawatowahi kuwa...
Kw mtazamo wangu Maandamano haya Kupinga Dowans kulipwa yasingesimamiwa na chama cha siasa kwa sababu yatachukua sura ya siasa na kuzuia watu wasio ambatana na chama chochote kushiriki.Ingekuwa vizuri Civil Societies zikaandaa maandamano haya ili kupata uungwaji mkono mkubwa zaidi katika suala hili lenye mtazamo wa maslahi ya kitaifa.
Nawasilisha
tunaotahwa kulipa deni ni watanzania na mmilÃ*ki wa dowans ni nani?Na kwanini wasilipwe? na ile mitambo waliyoileta waliileta kama sadaka? mnancheksha! Mnyika anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa wazuga Watanzania, kila deni linapocheleweshwa kulipwa ndio linazidi, tazama hukumu ya ICC na baada ya kulichelewesha nahukumu iliyotolewa na mahakama ya uingereza in between na sasa limefika ngapi? Deni ni lazima kulipwa, the only way out, ni kukaa na kuomba kulilipa kidogo kidogo na kusiwe na "interest" zaidi ya hapo ni kujitafutia matatizo zaidi. Biashara za kimataifa si kama kuuziana mikungu ya ndizi mahakama ya ndizi, na hata hapo hakuna asiyelipwa. Mnanshangaza.
Uwezi kuamini kama huyu Mbunge wa CDM ndio anatoa hii kauli.
Kama mtu anataka kumjua ani-PM
Usijidangane kuwa kuandamana ni kwa maslahi ya taifa, maslahi ya taifa ni kulipa deni. Rejea Tiny Rowlands case wakati wa Nyerere. Alikataa kulipa uone vipi tulisulubiwa.
Kuna njia mbadala za rahisi sana katika hili sakata lakini magwanda hawazijui na hatuwapi maujanja.
Natoa tamko haya maandamano yaanzie bilicanas kwa mbowe mpaka magogoni.Na tusiruhusu mbowe kutupiga picha na kuenda kuombea msaada kwa mabalozi na vyama wafadhili wa CDM kutoka nje kwa maslahi yake binafsi.Watanzania tupiganie nchi yetu wenyewe sio matatizo yetu watu wanayafanya dili kama tulivyo andamana kanda ya ziwa,mby,iringa nk huku wananchi tukizani tumepata mkombozi kumbe nao wanatufanya chanzo cha mapato kutoka kwa wahisani.CDM wanatumia matatizo ya watanzania kama NGO za tanzania wanavyotumia matatizo ya watanzania kujipatia maslahi binafsi.wakazi wa ubungo hawata kuuliza mnyika umetoa matamko mangapi pale makao makuu chadema2015 bali watauliza ahadi ulizo ahidi mbona hujatekeleza?