Kama serikali inasema haina pesa chadema tangazeni matmezi ya hisani watu wachangie g

Dec 27, 2010
23
0
Pamoja na wizi ulikithiri serikalini katika kila idara bado serikali kupitia selina kombani bila hata aibu yoyote anasimama na kutuambia eti serikali haina pesa kwa ajili ya kugharamia uuandaaji wa katiba mpya , SASA MIMI NASEMA TUNAOMBA CHADEMA WATANGAZE MATEMBEZI YA HISANI NCHI NZIMA ILI KUTAFUTA PESA YA KUFADHILI UUANDAAJI WA KATIBA MPYA, TUSIKATISHWE TAMAA NA WATU KAMA KOMBANI , YEYE ANASHIBA KUTOKANA NA MFUMO ULIOPO BALI HANA HURUMA NA WAJUKUU ZAKE AMBAO MFUMO HUU HAUTA KUWA NA TIJA WALA MANUFAA YOYOTE KWAO,KAMA BAKORA ZA CCM TUMESHAPIGWA VYA KUTOSHA SASA TUKO TAYARI KWA MABADILIKO.
 
Tunashukuru kwa ushauri, ila hata kama hizo hela ukikusanya mwisho wa siku utampa nani kama sio serikali ili ziweze kusaidia huo mchakato ?
 
kwa nini chadema tu pekeyao. Hivi nyinyi watu wa JF mmelogwa na nani? Wasio wanachadema wanawaonaje? Nakule kusini mwa Tanzania, Zanzibar na sehemu nyingi ambapo chadema hawapo au hawana nguvu au hawana wanachama wamefikiriwa?
This is very poor thinking in JF. Not everything is chadema. Mbona hamuelewi? nyie mkoje? au mna agenda gani? Sasa hivi naelekea kuamini yale maneno ya mchungaji mtikila kwenye jukwaa la wakristo.
 
Back
Top Bottom