Kama selection za kwenda kidato cha V zimetoka basi ajira za walimu nazo tayari ni suala muda tu.

Annuity

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
338
198
Nafikiri labda walikuwa wanataka waachie kwanza majina ya machalii au madogo wanaoingia kidato cha V, then after majina ya walimu na vituo vyao vya kazi yanafuatia so may be kesho au kesho kutwa watu watakenua.
 
Achaa mawenge we dogo,selection bado na hzo ajira zenu zipo tu hata Kama mwakani,
 
Back
Top Bottom