kuna binti tunapendana sana na tunapanga kuwa pamoja maishani ila shida ni dadangu 1 na kakangu 1 wana pinga,lakin ndugu zangu wengine hawana pingamiz,kaka ana kataa kwa kuwa:1 uyo msichana amepashwa tohara 2.kabila letu na lao ni maadui.dada hatoi sabab.
sasa na wewe hayo yote ulisema ya nini? yaani unakaa na kaka yako na dada unawapa story za mpenzi wake tena za huko chini sasa ulimwambia kaka yako mpezi wako ametahiriwa ili iweje? Kaunga na Kongosho njooni msaidie huku jamenidadako ana bifu nae huenda walishachukuliana mabwana
na huyo kakako alijuaje mdada wa watu kafyekwa kisimi au sijaelewa hapa?[/QUOTE
Wote hawajawahi kumwona uyo bint,ila nimaelezo niliwapa!hawamjui,weng wa kabila lake hutahiri madem
dadako ana bifu nae huenda walishachukuliana mabwana
na huyo kakako alijuaje mdada wa watu kafyekwa kisimi au sijaelewa hapa?
Kwakweli hata nami ninatatizwa sana na hilo, unamsimulia genital features za mpenzi wako kaka yako? Kina Asprin na The Boss njoeni mtuambie ndivyo wanaume mnakuwaga?
Nimaoni nilitaka kwa wenye busara katika mambo haya kwani cmadogo apa kuna family na bibi,mana binti nimemuahidi ndoa.