Kama ningekuwa Mh Pinda ningejiuzulu

Ipi dot com

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
301
113
Salaam, kwa ufinyu wangu wa mawazo nadhani ulikuwa wakati muafaka wa mh pinda kukaa pembeni.
Sasa tunapata picha halisi ya serikali ya jk na maswahiba wake.
Sasa naelewa kwa nini magufuri alisema anatamani angekuwa mbunge wa kawaida tu.

Pinda mwenyewe hayawezi maamuzi magumu, kesho utamsikia bungeni ka kinyonga akimtetea Jairo

Pinda ajiuzuru, then wabunge wafuatie kwa kupiga kura ya kutokuwa na imani na mnyikulu wa kaya.

Ajiuzuru wakati hata mpanda Rami bado haijaenda! Pinda naye ndo walewale2 kwanza ilibidi awe afsa mashamba huyu!

Nashangaa kwanza wabunge wanamtetea mtu asiyejitetea, wasijewakashangaa kesho huyohuyo Pinda anamtetea Jairo na ndipo watakapoumbuka wabungez wetu kwani si umeona leo wamejitokeza watu wa kumtetea Jairo humo bungeni kwa kuomba miongozo isiyo na tija wala mantiki wakati hata tume haijaanza kazi, laana hawa watu wa magamba

Namuonea huruma.Anatamani kutoa maamuzi magumu, tatizo uwezo HANA!!!!.
Pole kaka Pinda. Nawe pia ni GAMBA umeshndwa kutusaidia WANANCHI!!!!!

Namuonea huruma.Anatamani kutoa maamuzi magumu, tatizo uwezo HANA!!!!.

Pole kaka Pinda. Nawe pia ni GAMBA umeshndwa kutusaidia WANANCHI!!!!!

Au anataka apigiwe kura ya kutokuwa na imani?

Lkesho kutakuwa na maswali ya papo kwa papo swali la kwanza unasubiri nini?ikulu hawakutaki wewe wanamlilia DKJ...wao sio wewe hata Pinda stituka!

Nataka kesho akaangue kilio wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo

Salaam, kwa ufinyu wangu wa mawazo nadhani ulikuwa wakati muafaka wa mh pinda kukaa pembeni.

Sasa tunapata picha halisi ya serikali ya jk na maswahiba wake.

Sasa naelewa kwa nini magufuri alisema anatamani angekuwa mbunge wa kawaida tu.

Pinda angekuwa wewe asingesema yale maneno!! Angetafakari na kuwa na subira!

Salaam, kwa ufinyu wangu wa mawazo nadhani ulikuwa wakati muafaka wa mh pinda kukaa pembeni.
Sasa tunapata picha halisi ya serikali ya jk na maswahiba wake.
Sasa naelewa kwa nini magufuri alisema anatamani angekuwa mbunge wa kawaida tu.

Jamani!! Pinda siku ile hakusema angemwadabisha Jairo. Alichosema ni kuwa angekuwa na mamlaka angetoa maamuzi juu ya suala la Jairo - maamuzi hayo pengine mojawapo lingekuwa kama mkuu wa nchi alivyoamua kulitenda. Wabunge walilalama au walitoa allegations na hawakumtaka Pinda categorically arudishe jibu bungeni. Ni sahihi kuwa wabunge hawakuridhika na wameamua kuunda tume teule kufanya uchunguzi wao. Pinda ni Pinda na serikali yake - si sahihi kwa wabunge ku-sympathise dramatically kuhusu Pinda na mahusiano yake na serikali. Tusubiri maamuzi ya Tume teule ndipo tutaziona true colours za Pinda kama tulivyoziona wakati "akitekeleza" maazimio ya tume teule ya Bunge kuhusu Richmond.

Pinda is a gutless creature. Wazazi wake walikosea walipombatiza jina la Mizengo Pinda. Walitakiwa wampe jina la Mizengwe Punda. Kwani amejaa mizengwe isiyokua na mbele wala nyuma. Na ana tabia ka ya punda ya kukubali kupelekeshwa bila kujua kwa nini anaenda huko akopelekwa.

Back
Top Bottom