Kama nikipewa nafasi ya kuwateulia watanzania rais nitamteua huyu hapa!

Haya ni maoni lakini yenye kufikirisha ingawa watu watasema na kutukana. Kuna point hapo lakini mimi naona kwa mtu yeyote ambaye yuko CCM na ameshiriki kuanzia mwaka 1995 mpaka leo kuhasisi yafuatayo na kuyashiri na hana hata chembe (iota) of regrete, confession and penitence hafai kuwa rais maana urais ni nafasi takatifu

1.Kukwapua pesa benki kuu yetu maarufu wizi EPA

2.Kuwa kundi la wanamtandao-limewagawa Watanzania ktk makundi ya wenye nacho, wenye maslahi, wabadhirifu na waaminifu

3.Kuuziana nyumba za serikali

4.Kujenga shule za kata

5.Kuua miundo mbinu ya reli na kutengeneza barabara uchwara ili Al-Kaeda na Al-Shabab wapitishe truck zao

6.Mikataba mibovu ya madini

7.ununuzi wa ndege ya rais

8.ununuzi wa rada

9.Ugawaji wa mashirika ya umma na benki kwa mwavuli wa ubinafshishaji

Kwa hayo ma mengine Magufuri, Membe, Lowasa na wengine hawafai au CCM wote hawafai labda atokee mtu mwingine na atushawisi kuwa si sehemu ya madhambi hayo
 
Back
Top Bottom