Kama ni ww utamuachache mtu uliye mpenda?

Cha Ukwee

Member
Dec 17, 2010
31
0
salaam alekyum ndugu wana jamii!

Una MAHABUBA kwa miaka kadha wa kazaa sasa,na penzi letu lilikua m'banano na moto moto...adi mkazoeana na mkachukuliana ka hakuna namna nyingine yakuwatofautisha zaidi ya yoote vitu vingi ambavyo man alikua m bishi kufanya au kuitikia wito juu ya kitu au jambo fulani ukaamua kushirikia na kuanza kufanya vile mpenzi wako anavyotaka...
LAKINI sasa yuleyule demu aliyekulazimisha na kukutumbukiza katika namna io ya mapenzi yupo maili nyingi kinadharia na kimatendo juu yako kwani simu yako kwa maana ya msg au kupiga ni karaa kwake,ikitokea siku upo nae anazima simu ili watu wengine eti wasimpate,zaidi na zaidi siku izi vikao na shughuri 'HEWA' za ofisi zimekua nyingi kiasi ataki kuonana...

TATIZO LANGU naomba ushauri NAWEZAJE KUMUACHA HUYU DEMU NA KUMSAHAU KABISA AIJULISHI NI NAMNA GANI NAMPENDA NA ITANIGHARIMU...
AKSANTE WADAU NA WATWANA...NIMEWASILISHA.
 
poapoa lizzy...umesomeka! na naomba niombe radhi kwako na kwa wooote...SIYO demu...NI MAHABUBA WANGU.
 
member wa siku hizi wa jf hata kuandika kiswahili tu ni shughuli..lol
 
Time is the best healer...
The earlier the better, bora uachane nae sahizi, kuliko kuendelea kuwa nae na huku unaumia..., baada ya muda hopefully utazoea.., its hard to forget someone whom you have been together for some time... and there is no magic pill... keep yourself busy and do the other things you like ili akili yako isimfikilie, pia jaribu kukaa na marafiki zako and enjoy yourself sio kukaa peke yako and feeling sorry for yourself and time will take care of the rest

We are Stronger than We Think We Are....., and a Heart will Always Fall in Love if Given a Chance.... hata maua inabidi uyatolee magugu na uyawekee mbolea (same with the Heart)
 
The Boss haraka haraka typng era kaka lakini kimsingi naamini nimesomeka...
 
Voic asante sana kaka...lakini zaidi wat kinda bize niwe nayo itanikip kufoget? coz na fanya kazi sehem flanflan adi late sana lkn ule muda ninaokua nimetoka kwa job najitaidi kujicontro nashndwa lastly naangukia ktk callng o mesejng kaka...
WHAT KIND OF BUSY BRO?
 
poapoa lizzy...umesomeka! na naomba niombe radhi kwako na kwa wooote...SIYO demu...NI MAHABUBA WANGU.

Asante kwa kua muelewa!!!

Back to topic......Kama mmefikia sehemu ambayo msg na simu zako zinamkera kwakweli kilichobaki ni wewe kujaribu kua mbali naye!!!Fikiria kwamba unampima uone kama ana mapenzi na wewe au la!!Inawezekana hajali tu kwasababu unampenda ila sio kwamba na yeye hakupendi!!!!
Cha msingi ni kuanza kutafuta vitu vingine vitakavyochukua muda wako mwingi au hata kukuchosha ili ukifika nyumbani kitanda tu ndo unakikumbuka!!Tafuta hobbies...ongeza kutoka na washkaji....ongeza juhudi kwenye shughuli zako ili mradi tu usiwe na muda mwingi wa kumfikiria!!!
Ukianza kupatwa na ile hamu sijui ya kumpigia na kumtxt fikiria reaction yake jinsi ambavyo haitakau nzuri sana kiasi kwamba utaishia kujisikia vibaya baada ya kuongea nae!!!Hiyo itakuvunja moyo which is good!!
Hapo kama hajali tu ila anakupenda ukipunguza kumtafuta itamfanya yeye ajirudi....ukiona nae anauchuna ujue huna chako hapo kwahiyo unasonga mbele tu!!
 
Voic asante sana kaka...lakini zaidi wat kinda bize niwe nayo itanikip kufoget? coz na fanya kazi sehem flanflan adi late sana lkn ule muda ninaokua nimetoka kwa job najitaidi kujicontro nashndwa lastly naangukia ktk callng o mesejng kaka...
WHAT KIND OF BUSY BRO?

Ni vigumu lakini inabidi ufanye hivyo am sure unaweza ukaongezea na kazi zaidi ili uwe unachoka (au nenda gym au fanya physical exercises) which means ukichoka sana physically itakuwa rahisi kulala sababu ukiwa idle usiku mind inakupeleka huko huko unakopenda..., now weekdays work very hard usiku utakuwa umechoka utalala weekends go out and enjoy yourself ...., so many nice ladies around utafind wa kukuliwaza and probably atakuwa bora zaidi.... Kumbuka forgetting ni vigumu lakini muda ukipita kidonda huwa kinapona ingawa huwa kinaacha kovu.... but be strong thats life
 
Lizzy mbona unatoa ushauri kwa masharti hivo.... kama hawana future huyo atakuwa demu siku zote!!!!

Ingekua ni demu tu anaweza kumpotezea bila hata kufikiria...ila kwasababu anaonyesha anampenda kweli then hafai kuitwa demu!!!
Alafu nachukia sana hilo neno!
 
Back
Top Bottom