Kama ni wewe...

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Mzee saidi kasindikizwa na mkewe hadi kituo cha basi kuwahi safari.mkewe aliporudi home saidi alikumbuka amesahau CV yake ikabidi airudie.kufika nyumbani kampata mkewe anaosha vyombo na kutaka kumsapraizi akamfumba macho kwa kutoka kwa nyuma..mkewe akajibu aaaah! We shabani,hata hungoji mzee saidi akafika mbali tukaanza mambo yetu..usiku wote ni wetu mpaka atakaporudi mzee saidi kesho kutwa.
 
Dah!nitafanya kama cjasikia nachukua CV zangu nachapa lapa ila nikirudi nampakia faster tunachoma angaza .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom