Kama ni wewe hapo ingekuwaje??

Mrs.Nani

Member
Oct 27, 2011
8
1
Jamaa alikuwa kasafiri akaenda guest house kumpunzika kufika aka amua amtumie masseji mke wake kumbe alikosea namba ika enda kwa mwanamke alie toka kufiwa na mume wake siku mbili zilizo pita yule mwana mke mjane alivyo isoma ile meseji aka zimia ghafla mtoto wake akaja kamkuta mama yake kazimia uku ana simu mkononi ndo yule mtoto aka chukua cm ya mama yake na kuanza kusoma ile meseji ilikuwa ivi mpendwa mke wangu mimi ni mepumzika kwa aman kwan nilifika salama nilipo fika wali nipokea vizur waka nipa na chumba cha kulala vyumba vipo ving na kuna nafasi ya kutosha na watu wa huku niwa karimu sana jiandae na wewe kesho utakuja huku huku na watoto wangu nina waandalia chumba wata kuja mwenz ujao
ni mimi
mmeo nilie mbali na wewe.
 
Back
Top Bottom