Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 724
- 295
Naombeni msaada wana JF, natumia PC yenye BE Operating System (BEOS) yaani imegoma kabisa kubadilisha tarehe ziwe 2011, inakomea 2010 tu nifanyeje? naombeni msaada wenu!
Asante.
Asante.
Vipi kutoka contorl panel,au nenda kwenye bios,kwa nini usitumiw windows
Mimi pc yangu inatumia windows xp sp2 kama os, nimefunga tv tuner aina ya honestech 2.5 SAA7130TVcard lakini nikiinstall program yake kutoka kwenye cd yake inapofika sehemu ya kuinstall driver ambayo ni 713xDrvInstall.exe inanialert kuwa window haiitambui software hii eti haina logo ya microsoft windows, hivyo kuendelea kuiinstall itavuruga utendajikazi wa system sasa hivi au baadae..acha kuinstall mara moja! muone aliyekuuzia hii software au kama hujali matokeo ya haya unaweza kuendelea kuinstall.
Siku moja niliamua kuistall,ilikubali kuonesha lakini baada ya siku 4 ikagoma na kila kitu ktk system hakikufanyakazi sawasawa ndipo nilipoamua kuformat na kupanga tena kila kitu upya.uwezekano wa kumpata aliyeniuzia haupo hivyo naombeni msaada wenu wataalam ili niweze kutumia TV kwenye PC.
Samahani mleta thread kwa kuingilia lkn naamini heading yako nzuri itadraw attentions za wataalam hapa ambapo na shida hii yangu wataiona. Natanguliza shukrani! :help:
Naombeni msaada wana JF, natumia PC yenye BE Operating System (BEOS) yaani imegoma kabisa kubadilisha tarehe ziwe 2011, inakomea 2010 tu nifanyeje? naombeni msaada wenu!
Asante.
heh haya ndio madudu gani tena, ebu ngoja nigoogle na mie nijue, radio ina run kwenye computer? mbona mi niko hewani kabisa
heh haya ndio madudu gani tena, ebu ngoja nigoogle na mie nijue, radio ina run kwenye computer? mbona mi niko hewani kabisa
Hivi kumbe kuna os inatwa BEOS do asante kwa shule ngoja niangalie nitaipataje......
je huwezi kurekebishia kwenye bios
Aisee hata mi najishangaa,hivi hili li BEOS ni likitu gani? Kweli JF ni shule,dah!
clear cmo
Asante mkuu, situmii TV tuner, natumia Tune Tracker Radio automation system. Na siwezi kuibadilisha nikachukua trial ndugu yangu kuipata ni shida kwa hapa bongo etikama ni honestech jaribu kutumia software yao nyengine inakuwa na driver za hiyo tv tuner Easy Video Editor 3.0 pia inaweza kubali inapatikana http://www.honestech.com/main/TrialDownloads.asp chukua 30-day trial ujaribu
Show me the way i can do! the process[/QUOTE
Fungu computer yako kwenye motherboard angalia CMOS battery ilipo, pembeni yake kuna jumper, chomoa hapo ilipo ichomeke pin no. mbili na tatu iache hapo kwa dakika 10 then irudishie ulipoikuta, ukiwasha computer tayari CMOS itakuwa cleared
Mimi pc yangu inatumia windows xp sp2 kama os, nimefunga tv tuner aina ya honestech 2.5 SAA7130TVcard lakini nikiinstall program yake kutoka kwenye cd yake inapofika sehemu ya kuinstall driver ambayo ni 713xDrvInstall.exe inanialert kuwa window haiitambui software hii eti haina logo ya microsoft windows, hivyo kuendelea kuiinstall itavuruga utendajikazi wa system sasa hivi au baadae..acha kuinstall mara moja! muone aliyekuuzia hii software au kama hujali matokeo ya haya unaweza kuendelea kuinstall.
Siku moja niliamua kuistall,ilikubali kuonesha lakini baada ya siku 4 ikagoma na kila kitu ktk system hakikufanyakazi sawasawa ndipo nilipoamua kuformat na kupanga tena kila kitu upya.uwezekano wa kumpata aliyeniuzia haupo hivyo naombeni msaada wenu wataalam ili niweze kutumia TV kwenye PC.
Samahani mleta thread kwa kuingilia lkn naamini heading yako nzuri itadraw attentions za wataalam hapa ambapo na shida hii yangu wataiona. Natanguliza shukrani! :help:[/QUOTE
jaribu kutafuta drivers nyingine, ikikataa tafuta card nyingine tu mkuu
Nimesha-download na kuinstall Easy Video Editor,upande wa editing iko sawa lakini upande wa TV haikubali.kama ni honestech jaribu kutumia software yao nyengine inakuwa na driver za hiyo tv tuner Easy Video Editor 3.0 pia inaweza kubali inapatikana http://www.honestech.com/main/TrialDownloads.asp chukua 30-day trial ujaribu