Kama ni kweli sitokaa nipende!

The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,499
1,163
Inasemekana kuwa mwanamke ana roho mbaya kuliko mwanaume,mfano: katika suala la kuua/kutoa uhai ukiwakabidhi visu ambacho ni butu na chenye makali mwanamke atachukua butu ili akuchinje taratibu ukiteseka tofauti na mwanaume atakayekuua na chenye makali haraka,hii imekaaje wakuu?nawasilisha
 
mwenzetu hizi ngonjera umesomeshwa na nani................????????????????

ingelikuwa ni kweli basi dunia ingelikuwa ni mpweke lakini kila sekundu majitoto yanafyatuliwa....the reason is.......love is on air..........ALWAYS....................usichukulie exceptions to the rule as a day to day reality of life..............
 
Inasemekana kuwa mwanamke ana roho mbaya kuliko mwanaume,mfano: katika suala la kuua/kutoa uhai ukiwakabidhi visu ambacho ni butu na chenye makali mwanamke atachukua butu ili akuchinje taratibu ukiteseka tofauti na mwanaume atakayekuua na chenye makali haraka,hii imekaaje wakuu?nawasilisha
Una umli gani?
 
Kwani we ni mgeni duniani!unaishi mitaa ipi isiyokua na wanawake?umezaliwa na nani?au uyo alie kuzaa co mwanamke?Umechukua tabia ya mwanamke mmoja ukawajumuisha wote kutokana na uvivu wako wa kufikiri.
Haya sasa wote ni wakatili,we si muoga na usioe sasa
 
Well.. yes some women can do that and much worse IF you provoke them but normaly we are loving& tender creatures , so DO NOT scare the hell out of a woman!! remember Sir Isac Newton For every action, there is an equal and opposite reaction
 
hahaha....... i like it
 
Wakimaliza wanakuweka kwenye sufuria wanaongezea viungo vizuri 2,ile stori ya yule mama cjui pakistan nani anayo amwekee hapa?
 
Inasemekana kuwa mwanamke ana roho mbaya kuliko mwanaume,mfano: katika suala la kuua/kutoa uhai ukiwakabidhi visu ambacho ni butu na chenye makali mwanamke atachukua butu ili akuchinje taratibu ukiteseka tofauti na mwanaume atakayekuua na chenye makali haraka,hii imekaaje wakuu?nawasilisha

Wameumbwa wawe taratibu katika mambo yao!
 
Inasemekana kuwa mwanamke ana roho mbaya kuliko mwanaume,mfano: katika suala la kuua/kutoa uhai ukiwakabidhi visu ambacho ni butu na chenye makali mwanamke atachukua butu ili akuchinje taratibu ukiteseka tofauti na mwanaume atakayekuua na chenye makali haraka,hii imekaaje wakuu?nawasilisha
nani amekuambia na aliyekuambia ana jinsia ipi unaweza ukanitajia umri wako tafadhari
 
tena unachinjwa taratibu.....huku unanyofolewa utumbo kwa kucha......
bora ukae hivyo hivyo....usije ukachinjwa mwanakwetu........

Bi dada mwambie huyo tena akikosea kuchagua atachinjwa na msumeno kabisa afadhali hata ya kisu butu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom