Kama ni kweli, ni picha gani unapata hapa??

this means it is over between us for long time therefore we don't have to interfere each other in our life!

hivi na ukikuta mail kama hii unafanyaje???
mmmh mbona wanawake tunalo na wewe dada ndo inavosoma kwako?
 
umeona kaka
mwishowe atakuta na risiti ooh nilienda saluni na watoto
nilimlipa h/girl
nilinunua soksi na boxer lipa hana alili huyo

But naomba nimlaumu kwanza huyo dada
Inaelekea wakati akiwa hapa kabla hajaenda kusoma alimzoesha huyo jamaa yake kulipiwa kila kitu kwa maana ya matumizi ya nyumbani kwake
Kama alikuwa analipa bill za umeme au maji au matumizi ya ndani na huyo jamaa ni kula kulala hapo ni tatizo zaidi
Tunaweza tukawa tunamlaumu huyo jamaa kumbe tatizo limelelewa muda na hiyo familia
Ni kiasi cha mwanamama kukata huduma ahakikishe huduma zinazofika ni zile za muhimu kama za watoto (iwapo wana familia) na hayo mengine jamaa aambiwe wazi kuwa anatakiwa kupambana nayo
 
we acha tu usishangae ndio baadhi ya wanaume walivo na hata ukiwaona na utanashati wao huwezi amini .

Duh ndoa nyingine ni balaa
So mume ametumia umeme na anamdai mke wake amlipe pesa alizotumia kulipia umeme
Naamini kuna tatizo kubwa hapo kakti ya wawili hao na sio hili la kuandikiwa email
 
Naona mnakuwa wakali tu hapa............mumemsikiliza huyo mwanaume??

kama huyo mwanaume ndo alivyo, basi inakuwaje alimpenda alivyo na sasa hivi anahisi anakuwa kero?

Come clean wewe Suzy wa kuchonga!!

Post yako ina mashiko Bigirita na ndio maana nikaweeka angalizo la KAMA NI KWELI. But kuhusu kumpenda hivyo alivyo sweetheart, wapo watu ambao wana matabia ya ajabu ambayo wanawake wengi tunajidanganyaga kuwa watabadilika kumbe tunasahau kuwa kama ni mtu aliyezoea kutake for granted s/he will never change. Atatake for granted love yako na kukuabuse mpaka useme basi.
 
But naomba nimlaumu kwanza huyo dada
Inaelekea wakati akiwa hapa kabla hajaenda kusoma alimzoesha huyo jamaa yake kulipiwa kila kitu kwa maana ya matumizi ya nyumbani kwake
Kama alikuwa analipa bill za umeme au maji au matumizi ya ndani na huyo jamaa ni kula kulala hapo ni tatizo zaidi
Tunaweza tukawa tunamlaumu huyo jamaa kumbe tatizo limelelewa muda na hiyo familia
Ni kiasi cha mwanamama kukata huduma ahakikishe huduma zinazofika ni zile za muhimu kama za watoto (iwapo wana familia) na hayo mengine jamaa aambiwe wazi kuwa anatakiwa kupambana nayo
Kama utaratibu wao ni kwamba mke nalipa bills, inakuwaje wakigombana ulipaji wa bills utumike against mshkaji??
Au kwa vile analipa bills anataka asiambiwe kitu??

Sioni relevance ya kuongelea ulipaji wa bills wa jamaa. Inawezekana jamaa ameshafanya mambo mengine makubwa zaidi.
 
mimi hata sishangai mambo ya kudai pesa wanaume wamekua "MARIOO". Nina rafiki yangu nae anaishi nchi ya jirani, mume yuko bongo na ni mfanyakazi pia. mke ana rotation ya 9 weeks kazini, 3 weeks likizo, utashangaa akija bongo, hizo 3 weeks, analipa madeni kibao yameachwa dukani na wapi sijui. halafu akiondoka after likizo, ni kwamba anaacha pesa za matumizi ya nyumbani kwa 9 weeks ambazo hatakua nchini, hii ni pamoja na luku, bill ya maji, mshahara wa maid, fuel ya gari ambalo mtumiaji ni mume, na upupu wote mnaojua wa ndani. ana mume huyu ambaye ni muajiriwa pia. nilisema mimi hadi shoga kaninunia kiaina, maana mie niliona ni u stupid na ushenzi fulani. huyo mwanaume kazi yake as a man ni kukuparamia tu au? ujinga mwingine tunaendekeza sisi wanawake, then baadaye kuacha inakua tatizo. wanaume wa siku hizi nao wakipata mteremko ni kwamba gear inawekwa free ateremke taratibu. hivyo huyu baba kudai pesa kwa mkewe, huenda mke alizoea hizo wakati wa malovi davi ya nguvu, sasa yakipungua unaanza kuona kero.
Ladies naomba tusiwazoeshe wanaume tabia ambazo hatutaweza kuendelea nazo. from day one, mwanaume ajue wajibu wake ndani ya nyumba, nikifanya mimi namsaidia tena haste haste. baba ndio kichwa cha nyumba na sio mama, yeye ndio akune kichwa tule, tuvae na tulale kwa raha.
 
But naomba nimlaumu kwanza huyo dada
Inaelekea wakati akiwa hapa kabla hajaenda kusoma alimzoesha huyo jamaa yake kulipiwa kila kitu kwa maana ya matumizi ya nyumbani kwake
Kama alikuwa analipa bill za umeme au maji au matumizi ya ndani na huyo jamaa ni kula kulala hapo ni tatizo zaidi
Tunaweza tukawa tunamlaumu huyo jamaa kumbe tatizo limelelewa muda na hiyo familia
Ni kiasi cha mwanamama kukata huduma ahakikishe huduma zinazofika ni zile za muhimu kama za watoto (iwapo wana familia) na hayo mengine jamaa aambiwe wazi kuwa anatakiwa kupambana nayo

This is a WORD
Hakuna marefu yaso na mwanzo Mr. Rocky. Mwanzo wa relationship ndio unaodefine the proceddings. Kama Da Suzzy alikuwa anafoot bills za nyumbani toka mwanzo asitegemee kubadilika but shemeji naye (kama ni kweli) hana haki ya kumnyanyasa Suzzy kwa kuwa tu anampenda! To me nahisi kuna la ziada hapa kama wamechokana si vema kung'ang'aniana
 
but naomba nimlaumu kwanza huyo dada
inaelekea wakati akiwa hapa kabla hajaenda kusoma alimzoesha huyo jamaa yake kulipiwa kila kitu kwa maana ya matumizi ya nyumbani kwake
kama alikuwa analipa bill za umeme au maji au matumizi ya ndani na huyo jamaa ni kula kulala hapo ni tatizo zaidi
tunaweza tukawa tunamlaumu huyo jamaa kumbe tatizo limelelewa muda na hiyo familia
ni kiasi cha mwanamama kukata huduma ahakikishe huduma zinazofika ni zile za muhimu kama za watoto (iwapo wana familia) na hayo mengine jamaa aambiwe wazi kuwa anatakiwa kupambana nayo
kumbe kuna wanaume wanapenda dezo eeeh yaani unaishi na mume ndani then mabill yote unacleaer wewe hata ukiwa nje ya nchi mabill yanakufata? Hii kali
heri mtu uzae watoto wako ukae kwenu
 
The Finest, nimeogopa kutoa mtazamo wangu mimi kwani nilijua wengi wanaweza wasiamini but kumbe kuna wanaume wa aina hii. Mimi picha ninayoipata hapa, kama ni kweli haya anayofanyiwa Da Suzzy, basi huyu ameendekezwa sana. Anajua fika kuwa Suzzy hapindui kwake.
MJ1 kama signature yako inavyosema sasa huyu jamaa naona ana-dance vilivyo na Da Suzzy amefanywa dance floor na kama wasipokaa chini na kuyatatua matatizo mapema huyu Da Suzzy yatayomkuta huko mbeleni it will be too late kuyatatua mimi naamini bado wana muda wa kutatua hili tatizo before things get more worse kuliko ilivyo sasa hivi pia inawezekana jamaa anajua Suzzy hana ubavu (hapindui kwake) kwahiyo anam-toss jinsi atakavyo
 
But naomba nimlaumu kwanza huyo dada
Inaelekea wakati akiwa hapa kabla hajaenda kusoma alimzoesha huyo jamaa yake kulipiwa kila kitu kwa maana ya matumizi ya nyumbani kwake
Kama alikuwa analipa bill za umeme au maji au matumizi ya ndani na huyo jamaa ni kula kulala hapo ni tatizo zaidi
Tunaweza tukawa tunamlaumu huyo jamaa kumbe tatizo limelelewa muda na hiyo familia
Ni kiasi cha mwanamama kukata huduma ahakikishe huduma zinazofika ni zile za muhimu kama za watoto (iwapo wana familia) na hayo mengine jamaa aambiwe wazi kuwa anatakiwa kupambana nayo

Hilo ni jambo la muhimu sana
 
Post yako ina mashiko Bigirita na ndio maana nikaweeka angalizo la KAMA NI KWELI. But kuhusu kumpenda hivyo alivyo sweetheart, wapo watu ambao wana matabia ya ajabu ambayo wanawake wengi tunajidanganyaga kuwa watabadilika kumbe tunasahau kuwa kama ni mtu aliyezoea kutake for granted s/he will never change. Atatake for granted love yako na kukuabuse mpaka useme basi.
Sasa hapo ndo hii ..........
......Marriage is like a Dance, No matter how the Music changes you keep on Dancing...
 
Kama utaratibu wao ni kwamba mke nalipa bills, inakuwaje wakigombana ulipaji wa bills utumike against mshkaji??
Au kwa vile analipa bills anataka asiambiwe kitu??

Sioni relevance ya kuongelea ulipaji wa bills wa jamaa. Inawezekana jamaa ameshafanya mambo mengine makubwa zaidi.

Sasa hapo ndo hii ..........
......Marriage is like a Dance, No matter how the Music changes you keep on Dancing...
Well said Bigirita
 
MJ1 kama signature yako inavyosema sasa huyu jamaa naona ana-dance vilivyo na Da Suzzy amefanywa dance floor na kama wasipokaa chini na kuyatatua matatizo mapema huyu Da Suzzy yatayomkuta huko mbeleni it will be too late kuyatatua mimi naamini bado wana muda wa kutatua hili tatizo before things get more worse kuliko ilivyo sasa hivi pia inawezekana jamaa anajua Suzzy hana ubavu (hapindui kwake) kwahiyo anam-toss jinsi atakavyo

Hapa kuna ka ukweli hivi.........................
 
kuna ishu nyuma ya pazia, si hii ya simu. Na ndio inayompa huyo jamaa kiburi yote hiyo
 
Ndugu wakigombana, chukua jembe ukalime, wakipatana, chukua kapu ukavune. Nina maana kwamba mambo ya wanandoa sio ya kujadili kwa kusikiliza upande mmoja tu, ni vizuri kusikiliza pande zote na kulinganisha tatizo lakila mmoja. Baada ya hapo unatoa uamuzi au ushauri. Nakushauri umpigie simu mume wa rafiki yako ili upate mawazo yake kwanza ni kwa nini alifanya hivyo, baada ya hapo itakuwa vizuri hata kushauri kitu. Unaweza kuta ni jambo dogo tu ndilo linasababisha yote hayo.
 
aaaah kuna mambo kwenye familia huwa yanaamuliwa na yanakuwa ya kawaida wakati watu wakiwa level kimapenzi na yanakuwa mizigo pale tu matatizo yanapotokea na wengi husahau kwamba hayo mambo aliyafanya kwa mapenzi na hayakuwa mzigo kipindi cha mapenzi motomoto..

da suzy pamoja na kuleta hili suala bado kuna maswali mengi ya kujiuliza sitapenda sana kuongelea suala sana la huduma za umeme, insuarance kwani naamini uliamua liwe jukumu lako wakati wa mapenzi ..

kuna haya mambo ndo yanaweza kunipa muongozo katika kuendelea na mjadala
  1. ni muda gani umepita tangu muanze kuishi mbali mbali?
  2. je kabla hujaanza kuishi huko maelewano yenu yalikuwaje
  3. je mmebahatika kupata m/watoto
  4. kabla ya tukio la mwisho mawasiliano yenu yalikuwaje??
 
This is a WORD
Hakuna marefu yaso na mwanzo Mr. Rocky. Mwanzo wa relationship ndio unaodefine the proceddings. Kama Da Suzzy alikuwa anafoot bills za nyumbani toka mwanzo asitegemee kubadilika but shemeji naye (kama ni kweli) hana haki ya kumnyanyasa Suzzy kwa kuwa tu anampenda! To me nahisi kuna la ziada hapa kama wamechokana si vema kung'ang'aniana

Na hapo mimi ndo ninaposemea kuwa inaelekea toka mwanzo dada wa watu alikuwa analipa kila kitu ndani ya nyumba
Kutegemea jamaa abadilike katika kipindi kifupi ni issue
Na kama amemchoka sioni sababu ya kushikilia kulipana au kudaiana mambo ya bills
 
Back
Top Bottom