MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
Dears,
Wakati MJ1 mie naomboleza na ya kwangu, leo asubuhi nakutana na simu ya rafiki yangu ambaye alikuwa analia simuni kiasi cha kumwomba anisms tatizo ni nini. Akaamua kuniandikia mail ya kilichomsibu;
Yeye na Mr wake wanaishi mbalimbali kutokana na kutafuta maisha. Dada Suzzy (Si jina lake halisi) anaishi nje ya nchi lakini within EAC na mumewe anaishi nchini.
Juzi jumapili Da Suzzy anasema kapigiwa simu na shemeji lakini kwa bahati mbaya alikuwa amejipumzisha hakuisikia (ilikuwa ni jioni kwenye saa kumi na mbili jioni). Lakini alipoamka na kukuta missed call, akataka kucall back, only to realize kuwa hana credit kwenye simu na huko anakokaa ni mbali na maduka. So hakuweza kupiga but akajihimu alfajiri kwenda mjini kununua voucher akampigia shemeji hakupokea, akatuma sms ya kuomba radhi ya kushindwa kuwasiliana hakupata majibu. Lakini baada ya masaa mawili, akiwa kazini akakutana na e-mail ilotoka kwa Mr wake ikisema-
kuanzia muda sasa hatokuwa anapokea simu za mkewe hovyo, na muda alioamua ni fridays mchana na mwisho saa nne tu.
Da Suzzy anasema amechanganyikiwa, hajui la kufanya maana anajiona kama anatumika tu kwani kwa muda wamekuwa na matatizo na Mr wake (Haya sikuwa nayajua hadi leo). Anasema mumewe kwa sasa anamdai pesa ambazo amezitumia kwa kulipia matumizi ya nyumbani huku TZ kama maji na umeme, Mama ni among ya wale ambao wanatake care kila kitu ndani ya familia, mf. matengenezo/insurances za gari la familia, chakula cha familia n.k.
Silaumu lakini ninayo mawazo juu ya hili, ila kabla sijamweleza lolote ninaomba tusaidiane, maana ninaweza kuwa ninachokifikiria sicho.