Kama ni kweli... nawapongeza TRA!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Nimisoma ktk Daily News ya leo..

TRA wamewapiga fine na ilipwe ndani ya siku 30, wamiliki wa kila lori la mafuta ambalo lilibeba mafuta yaliyochakachuliwa na kukamtwa Kigali-Rwanda!!! faini ni asilimia 50 ya thamani ya mzigo(kwa kila lori) ambao ni Mil. 64, hivyo kutakiwa kulipa Mil 32 kwa kila lori.

Good start... operesheni hiyo iingie hadi katika vituo vya mafuta!!:smile:
 
Wanatakiwa watoe orodha ya wale wote waliokamatwa na mchezo wa kuchakachua mafuta watangazwe hadharani na wajitokeze wale wote walioathirika na hayo mafuta ili walete kesi zao mahakamani walipwe stahiki zao.
Najua ni wengi ingawa watanzania wengi hawana nafasi ya kushughulikia matatizo yao kwa kina wako bize zaidi kuliko kukaa foleni police au mahakamani kuandikisha Fail.
 
wanatakiwa watoe orodha ya wale wote waliokamatwa na mchezo wa kuchakachua mafuta watangazwe hadharani na wajitokeze wale wote walioathirika na hayo mafuta ili walete kesi zao mahakamani walipwe stahiki zao.
Najua ni wengi ingawa watanzania wengi hawana nafasi ya kushughulikia matatizo yao kwa kina wako bize zaidi kuliko kukaa foleni police au mahakamani kuandikisha fail.

mkuu naomba kuanzana hili

kati ya magari 18 yaliokamatwa lori 9 ni za mafuta ya mt meru yana kuwa kwenye malori mekundu huyu jamaa anamwaga moshi na dar kama ana akili nzuri kwa bahati mbaya anakula na mmoja wa kigogo wa tra siku nyingi na viongozi wengi wa ewura wa juu wako kwenye payroll yake samahani kwanhili kama una doubt naomba fwatilia na kama utabaahatika kupata picha za malori hesabu ya mt meru

kwa bahati mbaya ama nzuri yale magari ya rais yaliokutwa na mchakato wa mafuta na kushindwa kuondoka mmiliki wake ni mafuta ya total kwa bahati mbaya yule jamaa ametoa waraka wake na kusema ayakuwa ya total ameletewa na huyu bwana mt meru na mungu alivyomkubwa wakati wanafunga kituo walikuta gari la mt meru wakalifungia bahati mbaya yule jamaa ameingia na matatizo mpaka na total kwa nini anachukua mafuta ya mt meru bila total kujulishwa na kuchafuliwa jina hiyo ndio tanzania!!!!!!!!!!!
 
hawa mt meru siyo hawa gapco wa arusha? Walitajwa pia wakati ule wa epa

huwa anamwaga gapco na kampuni moja ina rangi za njano nimesahau kidogo nikija arusha ntawamwagi ...huyu ndie anawamwagia karibu shell zote za pwani ...so kwa upendo tu msione bei ya chini mkakimbilia mnaumiza gari zenu wapendwa nimeanza na huyu huku nikifwatilia wengine pale ewura ntakuja kuwamwagia.....

Kua shell zifwatazo zimekutwa na kosa la kujaz a upepo

oil com ubungo

bp hapa tanki bovu hii ni ya yule fisadi maranda ..kama sijakosea jina lakini bp walimjia juu n akurekebisha mashine zao wakipita kila mara kwa mara na ndio maana jamaa hata siku hizi ukipita mafuta yameisha

nyingine ni camel ya bamaga//na ile ya afrikasana afadhali ya awa wanatujazia upepo kuliko mchakato
 
sasa isije fine wakalipa, lakini bei ikaongezeka ili kufidia hiyo fine
 
sasa isije fine wakalipa, lakini bei ikaongezeka ili kufidia hiyo fine
hizo faini nigeona risiti ningeendelea na mjadala bw mmoja hanshope aliwaeleza wazi watanzania kwenye kipindi cha uchaatuaji kwamba hao tra nao ni binadamau sie tunawajua wamepitisha magari mangapi bila ushuru iwe hayo ya kuecheki mafuta hiyo ni baada ya kuulizwa inakuwa vipi tra wakapewa hili jukumu la kucheki mafuta akasema tra ni binadamu anyway kimoyomoyo najua alikuwa anasema wanakula rushwa takukuru na hosea wake ije tra wao nani kwani nani ataki kuishi maisha mazuri kwanza nampongeza yule bwana kwa kuwa muwazi na mkweli najua kwa ukweli ule ipo siku tutafumbuk a macho ingawa mkurugenzi wa israel alikimbia maswali yake live...so ukija kuangalia sana ni porojo ndugu na najua hata kama ni kweli jiulize yale mafuta yaliorudishwa yako wapi na mengine yameshafungu ingine za watu wameshindwa kuzirekebisha sasa uoni yale mafuta akiyauza ana faida ya million kadhaa hiyo takataka mil 32 kwao ni mbuzi hawa hata million mia awana tatizo watalipa na kesho wako uwanjani wanajua ikuhiyo ni moja ya siku ya mapambano na awataacha....kwenu mawazo yenu nini kifanyike tuondoe kuchakatuliwa na kuwekewa upepo
 
huwa anamwaga gapco na kampuni moja ina rangi za njano nimesahau kidogo nikija arusha ntawamwagi ...huyu ndie anawamwagia karibu shell zote za pwani ...so kwa upendo tu msione bei ya chini mkakimbilia mnaumiza gari zenu wapendwa nimeanza na huyu huku nikifwatilia wengine pale ewura ntakuja kuwamwagia.....

Kua shell zifwatazo zimekutwa na kosa la kujaz a upepo

oil com ubungo

bp hapa tanki bovu hii ni ya yule fisadi maranda ..kama sijakosea jina lakini bp walimjia juu n akurekebisha mashine zao wakipita kila mara kwa mara na ndio maana jamaa hata siku hizi ukipita mafuta yameisha

nyingine ni camel ya bamaga//na ile ya afrikasana afadhali ya awa wanatujazia upepo kuliko mchakato

Hiyo ya kijani na Njano ni NJAKE (Pia walitajwa EPA)
 
Nimisoma ktk Daily News ya leo..

TRA wamewapiga fine na ilipwe ndani ya siku 30, wamiliki wa kila lori la mafuta ambalo lilibeba mafuta yaliyochakachuliwa na kukamtwa Kigali-Rwanda!!! faini ni asilimia 50 ya thamani ya mzigo(kwa kila lori) ambao ni Mil. 64, hivyo kutakiwa kulipa Mil 32 kwa kila lori.

Good start... operesheni hiyo iingie hadi katika vituo vya mafuta!!:smile:
Mhhhh Labda sijaelewa.

Yamekamatwa Rwanda alafu TRA wamedandia juu kwa juu kupata ujiko??? Hawatakiwi kupongezwa sababu walitakiwa wayakamate yakiwa Tanzania. TRA , POLISI, EWURA Malori kama hayo Tanzani yamo mangapi. tanzania.
 
Back
Top Bottom