Kama nguvu hii ingeelekezwa kwenye uzalishaji tungelikuwa matajiri sana........

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
04_11_zy41an.jpg
Sehemu ya umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakishangilia wakati Katibu Mkuu mpya wa chama hicho, Wilson Mukama (hayupo pichani) alipokuwa akihutubia kwenye Viwanja vya Bakhressa, Manzese, Dar es Salaam Jumamosi, ikiwa ni ziara yake ya kujitambulisha yeye pamoja na Sekretarieti yake mpya. (Picha na Fadhili Akida).
 
wamekodishwa hao, wanashangilia posho zao tu.. Umeona mwananchi hata mmoja alievaa nguo za kawaida hapo?
 
Back
Top Bottom