Kama ndio wewe ungefanyaje?

JAmani watu mnatuhumu sana na kumlaumu mdada wa watu. Albino mbona wako wengi bongo nao wangekataliwa na wazazi wao kisha weupe???? Hiyo ni rangi tuu na usihukumu kabla hujajua umeibiwa ama ni rangi tuu Mungu ameamua kumpa.
 
kwi! kwi! kwikwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiii! No comment, ila safari ya kwao au mochuari ingekuwa imewadia
 
cha kufanya muulize mtoto ni wa nani and DNA iwe last option. Lakini hebu niulize kidogo hivi watu wanazaa wame relax namna hii kama huyu dada! ila anaonakana kama anaona aibu! Kama aibu kashapata nachoona mimi lea mtoto tu. Uyu dada nafsi itamsuta mpaka kaburini.
 
Maoni mazuri sana thanks mkuu
 
Ningeenda kuwapima DNA wale sita waliotangulia ili nijue kama nao ni wangu au la, coz wao ni weusi!!!
 
cha kufanya muulize mtoto ni wa nani and DNA iwe last option. Lakini hebu niulize kidogo hivi watu wanazaa wame relax namna hii kama huyu dada! ila anaonakana kama anaona aibu! Kama aibu kashapata nachoona mimi lea mtoto tu. Uyu dada nafsi itamsuta mpaka kaburini.

comrade, wengine hawana hizo nafsi za kuwasuta kwanza wanalipanga wenyewe ili wakukomoe, utaishia kusononeka mwenyewe.
 
Wote mama na mtoto kata tu kidevu alafu naozea jera. Huu ni ushenzi. Inauma kinomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Dunia ina mambo,
Mengine ni magumu, hayafikiriki,lakini yanafanywa na mwanadamu.

Heri aliyemfanya bwana kuwa tumani lake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom