kama mwigulu alihonga elfu kumi vijana wafanye fujo na wakafanya basi CCM!

Bora hata hao waliohongwa elfu 10. Wapo watu TZ hii ambao wakipewa ubwabwa tu wanabwatuka mbaya!
 
Kama tuhuma ni za kweli vijana walihongwa elfu kumi kufanya fujo na wakafanya CCM itatawala milele.
Inategemea ni vijana wa namna gani?, hawa walio hongwa tzs 10000 iliwafanye fujo ni kutoka Dar es salaam na baadhi ya viongozi wa kijiji cha Ndago.. kama ujuavyo hata jambazi akifa kuna wa kumlilia, hivyo hivyo CCM ina vijana wake kama akina Ritz @rejeo na wengineo.. ieleweke kazi ya kuitoa CCM madarakani siyo ndogo wala si lelemama, lazima chadema wajipange hasa.
 
Last edited by a moderator:
Hana muda mwili wake utakuwa hivi.....

484617_355506667853160_1532373537_n.jpg
 
Back
Top Bottom