Elections 2010 Kama mwalimu angelikuwa hai leo

lm317

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
451
44
Naomba kuuliza wana JF. Kama Kambarage angalikuwa hai leo. angelikuwa bado yupo CCM?????
 
Hakika asingehama CCM ila angejitokeza hadharani na kumpigia kamapeni Dr.Slaa. Na hili lingewashangaza wengi ila ukweli ndo huo kwa sababu alikuwa anapenda watu wenye uzalendo na nchi yao. Na ndipo hapo maneno yake ya kusema Chadema ndicho chama upinzani makini kinachoweza kuendesha dola yangetimia.
 
Angekuwepo ccm kama mimi ila kura angempigia Slaa kama ntakavyofanya!
 
Mi nadhani angelikuwa ameisha anzisha chama kingine chenye kuzingatia maslahi kwa Taifa letu. Nahisi hali ya kisiasa isingekuwa kama ilivyo sasa maana angelimuunga mkono mgombea wa CHADEMA na angekuwa amewashawishi Wananchi wa vyama mbalimbali kumuunga mkono na kumpigia kura DR. Slaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2010- 2015.
 
Ninachoamini mimi ni kwamba kama Mwalimu angekuwa hai, kikwete na kundi lake wasingepata nafasi ya kuingia ikulu, wangeishia kwenye uwaziri tu.
 
KAMA MWALIMU NYERERE ANGELIKUWA HAI LEO
Kwa Tanzanite peke yake ,kila mtanzania angesoma hadi chuo kikuu kwa gharama ya zawaidi hii(TANZNITE) MUNGU alioipa Tanzania peke
yake duniani.Jamani tuseme tu ukweli hata kama ni kufa,Nyerere pekee ndie mkombozi wa kweli kama Yesu, aliwahi kuwepo,na kwa mwendo huu wa sasa hakuna dalili ya ukombozi labda MUNGU afanye mabadiliko katiika uongozi wa nchi hii.MUNGU tunakuomba mabadiliko.
 
labda ccm ingekuwa swafi kimatendo na angechapa mafisadi viboko :)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom