Kama mtumiaji wa LUKU soma hapa tafadhali

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Nimeiona hii kupitia mwananchi kwamba wateja wanaotumia LUKU wataikosa huduma hiyo kuanzia saa 4 usiku had saa 7 mchana,,,,lengo ni kuboresha mfumo wa LUKU,,,,,,,so ina maana kwa saa 15 hakutakua na huduma ya LUKU kuanzia juni 6
 
Sijaelewa hakuna huduma ya LUKU kwamaana hakutakuwa na umeme kwa tunaotumia meter za luku au no transaction kwa manunuzi ya umeme wa luku?
 
Weka ieleweke mkuu ni mita za luku zitakata umeme au ni mawasiliano ya manunuzi ya umeme wa luku yatakata?
 
Rudia kusoma vizuri thread utaelewa tu!

bado hujaelewaka mwana,huduma ya luku ziko mbili,luku machine/meter yenyewe inayocount na kupitisha umeme,na mfumo wa mawasiliano unatumika kwa ajili ya manunuzi ya umeme wa luku.
 
bado hujaelewaka mwana,huduma ya luku ziko mbili,luku machine/meter yenyewe inayocount na kupitisha umeme,na mfumo wa mawasiliano unatumika kwa ajili ya manunuzi ya umeme wa luku.

ni kwamba ununuz wa LUKU wa aina yeyote hautakuwepo
 
TUAMBIE KWANZA KABILA LA HUYO MCHUMBA NA MAMA MKWE WAKO, KAMA MCHUMBA KAKUFANYA ATM JIANDAE... MKWE NAYE ATAKUGEUZA BANK KABISA.
Pesa ilimuuza Jesus!!!
 
Back
Top Bottom