Nimekuwa nikiangalia sarajkasi za kisiasa zinazoendelea tanzania, ni comedy tupu,naona kama ni siasa za kuigana ili na mimi nionekane hivi, jamani sote tulikuwepo tulishuhudia chama cha wanachi cuf kilivyoshirikiana na ccm+tlp na mb wao mmoja pamoja na cuf kupitisha kwa shangwe na vigelegele leo wameibuka eti wanaenda ikulu kutoa mapendekezo hali wawakilishi wao washasema walichotumwa na uongozi, sasa mlienda kufanya nini kama sio kuiga walichofanya wenzenu?