Kama mkapa, wasira na lusinde ndio wateule, je walioachwa wana hali gani?

MADORO

Senior Member
Nov 12, 2011
198
117
HIZI NI SERA ZA CCM, ARUMERU AU KUNADI MGOMBEA?

Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu wa Tanzania, akaacha kando mambo ya kampeni na kukimbia kimawazo na maneno hadi katika familia ya Mwasisi wa Taifa hili, Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere na kusema, Vicent Nyerere, si mtoto wa Mwalimu Nyerere; huku akisisitiza yeye sio mwizi wa Ardhi.

Wassira: katika kampeni ameenda kusema Dr. Slaa anatafutwa kwa kuliibia Kanisa tangu mwaka 1990. Yeye pia hakutaja Serza za Chama.

Jana Lusinde; Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ananukuliwa na vyombo vya habari Jumatatu hii akiwataka wananchi wamchague Sioi kwa sababu ili eti wamfute machozi kwa kuwa alifiwa na baba yake; Jeremia Sumari aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo! Lusinde hakuona lingine jema la kuwahamisha wananchi hao wamchague Sioi Sumari ili pengine ashirikiane nao kukabiliana na changamoro za maendeleo ila yeye anawaambia wamchague ili kumfuta machozi kutokana na kifo cha baba yake! Huo ndio msisitizo wake badala ya kujikita kuangalia changamoto za umaskini, elimu duni, huduma duni za maji na mengine, Lusinde anataka Sumari apewe ubunge kama rambirambi!Hivi hilo ndilo tatizo la watu wa Arumeru Mashariki? Nani alimwambia Mbunge Lusinde kuwa ubunge unatolewa kama salamu za rambirambi? Hiki Chama kumbe kimeishiwa hivi kwanini tunaendelea kuwaamini mbona tutaumia
 
kama nakumbuka vizuri nilishawahi kuandika humu kuwa lusinde sio mzima kichwani,..mimi nadiriki kusema wananchi waliomchagua(kama hakuchakachua)basi wao ni w*hu kuliko yeye,..yani kwenye kura ya maoni walimwona huyu ni afadhali ya malecela?dodoma kuna tatizo,..imagine type za akina fisichawene,ndugai...damn.
 
Anhaaa! ni yule jamaa mlopokaji? watu kama akina LUSINDE ndo wanaosaidia kuzika chama cha magamba. hajui kuwa siku hizi vijana wanaangalia watu makini sana kama TIMU NZIMA YA CHADEMA na si ulopokaji anaoufanya huyo jamaa.
 
niwaombe cdm kuendelea kuwasha moto kwa kueleza mipango, mikakati na malengo ya mgombea na chama katika kusimamia maendeleo na ustawi wa watu wa arumeru. cdm mmewashika ccm pabaya ndo mana wanatumia kampeni za maji taka kwa lengo la kuwaondoa kwenye mstari ili waweze kuwashitaki kwa wananchi. natumai janja yao ilishashtukiwa long time kitambo!
 
HIZI NI SERA ZA CCM, ARUMERU AU KUNADI MGOMBEA?

Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu wa Tanzania, akaacha kando mambo ya kampeni na kukimbia kimawazo na maneno hadi katika familia ya Mwasisi wa Taifa hili, Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere na kusema, Vicent Nyerere, si mtoto wa Mwalimu Nyerere; huku akisisitiza yeye sio mwizi wa Ardhi.

Wassira: katika kampeni ameenda kusema Dr. Slaa anatafutwa kwa kuliibia Kanisa tangu mwaka 1990. Yeye pia hakutaja Serza za Chama.

Jana Lusinde; Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ananukuliwa na vyombo vya habari Jumatatu hii akiwataka wananchi wamchague Sioi kwa sababu ili eti wamfute machozi kwa kuwa alifiwa na baba yake; Jeremia Sumari aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo! Lusinde hakuona lingine jema la kuwahamisha wananchi hao wamchague Sioi Sumari ili pengine ashirikiane nao kukabiliana na changamoro za maendeleo ila yeye anawaambia wamchague ili kumfuta machozi kutokana na kifo cha baba yake! Huo ndio msisitizo wake badala ya kujikita kuangalia changamoto za umaskini, elimu duni, huduma duni za maji na mengine, Lusinde anataka Sumari apewe ubunge kama rambirambi!Hivi hilo ndilo tatizo la watu wa Arumeru Mashariki? Nani alimwambia Mbunge Lusinde kuwa ubunge unatolewa kama salamu za rambirambi? Hiki Chama kumbe kimeishiwa hivi kwanini tunaendelea kuwaamini mbona tutaumia[/QUOT Hawa watu ni sawa na makamasi yaliyopo ndani ya pua, hatuna budi kuyapenga. Ni viwavi wanaolitafuna taifa letu.
 
hawa jamaa wanasikitisha sana kama ndo sera wanazoeneza baada ya miaka 50 ya mwanzo.. Am sure wanachokfanya sasa ni kueneza blaa blaa 2 majukwan wakisubiria cku ya uchaguzi tarh 1 waibe kura kadri wawezavyo
 
Wakati wa maombolezo ya jeremia sumari ushapita,hatutoi kura za huruma hapa sie,KICHAA Lusinde asituletee uongozi wa kifalme meru tanganyika.hatupo enzi ya zidumu fikra za mwenyekiti,vp yule mwanamke wa wasira sinza pale kajifungua?
 
HIZI NI SERA ZA CCM, ARUMERU AU KUNADI MGOMBEA? Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu wa Tanzania, akaacha kando mambo ya kampeni na kukimbia kimawazo na maneno hadi katika familia ya Mwasisi wa Taifa hili, Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere na kusema, Vicent Nyerere, si mtoto wa Mwalimu Nyerere; huku akisisitiza yeye sio mwizi wa Ardhi. Wassira: katika kampeni ameenda kusema Dr. Slaa anatafutwa kwa kuliibia Kanisa tangu mwaka 1990. Yeye pia hakutaja Serza za Chama. Jana Lusinde; Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ananukuliwa na vyombo vya habari Jumatatu hii akiwataka wananchi wamchague Sioi kwa sababu ili eti wamfute machozi kwa kuwa alifiwa na baba yake; Jeremia Sumari aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo! Lusinde hakuona lingine jema la kuwahamisha wananchi hao wamchague Sioi Sumari ili pengine ashirikiane nao kukabiliana na changamoro za maendeleo ila yeye anawaambia wamchague ili kumfuta machozi kutokana na kifo cha baba yake! Huo ndio msisitizo wake badala ya kujikita kuangalia changamoto za umaskini, elimu duni, huduma duni za maji na mengine, Lusinde anataka Sumari apewe ubunge kama rambirambi!Hivi hilo ndilo tatizo la watu wa Arumeru Mashariki? Nani alimwambia Mbunge Lusinde kuwa ubunge unatolewa kama salamu za rambirambi? Hiki Chama kumbe kimeishiwa hivi kwanini tunaendelea kuwaamini mbona tutaumia
Hawana SERA za msingi wanasitahili kupuuzwa tu
 
Back
Top Bottom