Kama mimi mwenye degree nikikosa ajira ya muda ya sensa,je itamaanisha nini?

Wild fauna

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
461
189
Wakuu ikitokea wewe au mimi mwenye degree tukakosa/nikakosa nafasi ya kazi ya SENSA alafu form six and form fours wakapata,what is going to be your opinion?
 
mimi nina degree ila tayari kwa majina yaliyobandikwa ofsi ya mtendaji wa kata niyopo(kawe) jina langu limo japokuwa wamesema kesho kuna usaili wa kukugua vyeti.sasa sijajua kama wenye degree wote majina yao yametoka au la....ila hata mwenye degree kuachwa itawezekana tu kutokana na corrupt system
 
Mkuu uchunguze wanalipa sh ngap kesho.sisi pande hzi za arusha bado hawajarelease
 
Wakuu ikitokea wewe au mimi mwenye degree tukakosa/nikakosa nafasi ya kazi ya SENSA alafu form six and form fours wakapata,what is going to be your opinion?

Shahada ndo inayohitajika? Ukikosa basi unamshukuru Mungu kwa mwenzio kupata hiyo kazi. Siyo vizuri kuamini kuwa provided una degree basi ni lazima upate.
 
Kiwango cha elimu kinachohitajika kwenye sensa ni form four tu na wala si degree, kwenye fomu uliambiwa ambatanisha na cheti cha form four. sintoshangaa wenye degree mkiachwa VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
 
we bure kabisa.
 
ingekuwa busara, kusaidia wenye degree zao wanaozurura mtaani bila msaada maalum, then kama chance ingepatikana then form 6 na form 4 iwe last consideration.
 
mimi nina degree ila tayari kwa majina yaliyobandikwa ofsi ya mtendaji wa kata niyopo(kawe) jina langu limo japokuwa wamesema kesho kuna usaili wa kukugua vyeti.sasa sijajua kama wenye degree wote majina yao yametoka au la....ila hata mwenye degree kuachwa itawezekana tu kutokana na corrupt system

aisee tuko wote kata ya kawe.
 
ingekuwa busara, kusaidia wenye degree zao wanaozurura mtaani bila msaada maalum, then kama chance ingepatikana then form 6 na form 4 iwe last consideration.
wenye degree mnapaswa kujiajiri, kama unazurura mtaani basi elimu yako haijakusaidia kitu, na hivo kazi ya sensa kadhalika haita kusaidia
 
Wakuu ikitokea wewe au mimi mwenye degree tukakosa/nikakosa nafasi ya kazi ya SENSA alafu form six and form fours wakapata,what is going to be your opinion?

kwan ina maana km wenye degree mko 200 basi ndio mbebwe wote? We ukiona umekosa kuna wenzio wamepata,hali kadhalika na form 4 na form 6 pia.
 
Kwanza hiyo ishu ilikuwa ya walimu tu, baada ya kuona wanazingua ndo wakaweka nafasi kwa watu wengine
 
Kwani Degree ndo nini? kwanza ukikosa nitafurahi ili uache kujivuna kisa degree.....unakuwa mbaguzi kisa elimu? kula basi hiyo degree yako......kwanza hujiulizi mbona haijakusaidia mpk sasa unaranda mitaani!!! nonsense
 
Hiii sio kazi ni kibarua kaka na ndio maana malipo yake hayaeleweki
acha wapewe hao maana wanaweza kukuudhi bure kwa viela vidogo ukahangaika
 
Wakuu ikitokea wewe au mimi mwenye degree tukakosa/nikakosa nafasi ya kazi ya SENSA alafu form six and form fours wakapata,what is going to be your opinion?

kuwa na degree haimaanishi ndo yule mwenye form four ndo akose hata kazi iliyo ndani ya uwezo wake ila nisichokipenda mimi ni kuona eti first priority wamepewa tena watu ambao tayar wanaajira kwani sisi jamaa wenye elimu ambazo zilikuwa zina uwezo wa kutupatia nafasi hata katika sensa tu japokuwa sio ajira ya kudumu inamaana sisi sio watanzania wenye haki ya kupata ajira? au wanataka ndo tutafute serikali nyingine?
 
Kiwango cha elimu kinachohitajika kwenye sensa ni form four tu na wala si degree, kwenye fomu uliambiwa ambatanisha na cheti cha form four. sintoshangaa wenye degree mkiachwa VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
you are very sure bro
 
kwanza mwenye degree kuomba kazi kama hii ni kujidhalilisha tu, waachieni na wengine vijana ambao hawjasoma angalau wapate hela ya sabuni.
 
Back
Top Bottom