Kama Mbowe alivyobanwa na bunge huyu naye asiachwe

Habarindiyohiyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
263
13
Mbunge wa Hai aliwahi kushtakiwa kwenye kamati ya kinga na madaraka ya bunge kwa kauli ya dharau kwa wabunge kuwa bunge ni mchezo wa kuigiza. Sasa kwanini kamati hiyo iachie habari hii kama hii: Mnyika: Bunge limetekwa na mafisadi bila kuchukua hatua kulinda heshima ya bunge?

...ndiyohiyo
 
tuonyeshe hiyo hansard ya mbunge wa hai,la sivyo wape pole magamba woteeee
 
Wewe ni kati ya mizigo mikuubwa kwa taifa letu hili, tukifanikiwa kuituwa tutakuwa tumepata ukombozi wa kweli!
 
Wekilaza umetokawapi?mtu akiongea ukweli pia ashtakiwe kwenye kamati ya nizamu?acha upumbavu we gamba.kukurupuka kubaya.
 
Back
Top Bottom