Kama mbavu zako za kichina usifungue hapa

kwa hakika hujui utendalo, lakini sikulaumu sana yamkini mazingira utakayo ama elimu uliyonayo ama fikra zako zina shida kidogo ndio maana hata ukaamua kupost kitu kama hiki. ila yapo yamsingi sana yakufanya kaa na jitambue kwanza.
 
wewe unatafuta umaarufu lakini kumbuka kuwa umaarufu upo wa aina mbili wa uzuri na ubaya,ndio maana kina Matonya ni maarufu kutokana na uombaomba au mashoga kama kina anti Muddy ni maarufu kutokana na mambo yao wanayofanya so wewe sijui tukuweke kundi gani?
 
Wewe mwenyewe pia unaonekana kuwa pia ni mpuuuuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! kwa kuleta upuuzi
 
Jamaa mmoja alikuwa......................................................................................................................................................................................................nimebanwa na mavi utamalizia mwenyewe kama hujaelewa nisubiri nitoke chooni nije kumalizia ila sijui nitatoka saa ngapi maana kinyesi ni kirefu na kinatoka taratibu kama foleni ya magari kwa babu wa loliondo

I wish ningekuona!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom