Kama marais wetu wangekuwa na fikra kama hizi tungekuwa tumeendelea

Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
1,107
President Barack Obama on Friday named General Electric’s CEO Jeffrey Immelt as the chair of the White house new Council on Jobs and Competitiveness, restructuring his economic team to place an emphasis on job creation.
Speaking after touring a future GE battery manufacturing plant in Schenectady, N.Y., Obama called Immelt “one of the nation’s most respected and admired business leaders,” adding that in the days ahead he will announce more economists and business leaders who will join Immelt on the new jobs-focused panel.
My take: Kama viongozi wetu wangekuwa na mtazamo kama huu nina hakika kabisa kuwa JK angeangalia nje ya siasa kwa manufaa ya nchi badala ya kun'ang'ania watu walewale ambao kwa miaka mitano wameshindwa kumsaidia kutimiza yale aliyowaahidi watanzania mwaka 2005. Nina uhakika kabisa kama angeelekeza katika kuwaweka watu ambao kwao siasa si ajira bali wamekuwa succeful katika private sector kuwa wasaidizi wake na asiwaingilie katika maamuzi yao mradi tu hayaliangamizi Taifa, tungekuwa mbali sana. Huu mchezo wa kuangalia nani atalinda masilahi yetu au ya chama ndiyo kiini cha umasikini miongoni mwa watanzania. Wanasiasa wengi wanajifanya wao ni kila kitu hata maeneo ambayo hawana ujuzi nayo na hawakubali ushauri wa watalaam, matokeo yake inabidi watalaam hawa ajishushe na kukubali kuendeshwa na wanasiasa kwa kuwa tu wasije poteza nafasi zao kwa fitina za kisiasa(Mfano ni TBC na Mhando)
 
tatizo ni kuwa Marekani kuna Leader ambaye amechaguliwa na wananchi na anawajibika kwao, lakini TZ kuna follower ambaye amewekwa na watu wachache wakisaidiana na NEC , sasa atawasikiliza akina nani? atawasaidia akina nani?
 
Back
Top Bottom