Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

Mimi nimemwona Lowasa nikafurahi sana, ingawa sijui ni kwanini amekwenda huko ila namshukuru sana Mungu kwani inatia moyo sana ukiona viongozi wa siasa wana hofu ya Mungu, Mungu mbariki na umjalie afya njema na fungua milango yake ya baraka kokote iliposhikiliwa, wamtumainio Bwana ni kama mlima sayuni kamwe hawatatikisika. Mungu mbariki Lowasa Mungu ibariki nchi yangu Tanzania tupate katiba mpya kwa amani. Amen.
 
Inaweza ikatuletea unafuu kwa nchi yetu asa tunapoona viongozi wetu wanakwa na hofu ya Mungu.
Ni majuzi tu tumemshuhudia Mwigulu baada tu ya uteuzi wake kuwa Naibu wa wizara ya feha akiwa huko Nigeria na siku ile mtumishi wa Munu Nabii T B Joshuaalifundisha mafundisho yaliyo mgusa kwa kiasi fulani kwa ule ujumbe a kidogo saivi namuona ametulia kidogo kwa maneno yake aliyo kuwa akiyaporomosha bila hata kutathimini athali zake.

Leo tena nimemuona mzee Lowasa akiwa katika iada ndani ya sinagogi huko Nigeria katika ibada ya j2 live.
Tunamuomba Mungu wetu mwema kupitia mkombozi wetu Yesu Kristo aendelee kuwa nataifa letu hasa kwa kuwafungua viongozi wetu, kwa neno lake mwenyewe anasema haki huinua taifa, basi awasaidie wawe watu wa haki na wenye kuweka maslahi ya watanzania mbele badala ya vyama vyao na kulipzana kisasi.

Nampenda Bwana Wangu Yesu Kristo yeye mwenye wote viongozi na waongoza na akiamua kuwabadilisha hakuna cha kumshinda

Lowasa ni close friend wa TB joshua tena ni marafiki wa muda mrefu
 
Wana jf.
Yule muhubiri maarufu Africa T. B. Joshua kwa mara nyingine tena amemtabiria Edward Lowasa kuwa rais ajae wa Tanzania katika mahubiri yake jana ijumaa jioni tarehe 5.6.2015

Source..TV Emanuel
 
Huyo 'Nabii' Joshua msanii tu, hana lolote na yeye kakubali kuhongwa? Hawa wachunga kondoo wa Mungu wanatia aibu kama Gwajima.
 
Wana jf.
Yule muhubiri maarufu Africa T. B. Joshua kwa mara nyingine tena amemtabiria Edward Lowasa kuwa rais ajae wa Tanzania katika mahubiri yake jana ijumaa jioni tarehe 5.6.2015

Source..TV Emanuel

mbona unahangaika sana? Mnamwamini huyo mwehu Joshua aliyefanya kafara kwenye jengo lake?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wana jf.
Yule muhubiri maarufu Africa T. B. Joshua kwa mara nyingine tena amemtabiria Edward Lowasa kuwa rais ajae wa Tanzania katika mahubiri yake jana ijumaa jioni tarehe 5.6.2015

Source..TV Emanuel

Ehee eheee kigeugeu, laki si pesa kigeu geu...kigeu geu!

Utawaudhi wanafiki wenzako akina faiza foxy kwa ukigeugeu wako!
 
Last edited by a moderator:
Ehee eheee kigeugeu, laki si pesa kigeu geu...kigeu geu!

Utawaudhi wanafiki wenzako akina faiza foxy kwa ukigeugeu wako!

Huyo atakuwa kashashikishwa mlungula mkuu njaa mbaya sana
 
Last edited by a moderator:
kumbe gwajima ni sehemu ya wahubiri kadhaa wenye utabiri wa ujio huu wa rais mpya
 
Hata Yesu alipata shida sana kusambaza neno la Mungu ,lakini mwisho alifanikiwa,tutaheshimiana tu baada ya uchaguzi October
 
Wana jf.
Yule muhubiri maarufu Africa T. B. Joshua kwa mara nyingine tena amemtabiria Edward Lowasa kuwa rais ajae wa Tanzania katika mahubiri yake jana ijumaa jioni tarehe 5.6.2015

Source..TV Emanuel

Alisema nchi moja ya Africa Mashariki inayopakana na Kenya itapigwa na Al shabab iko wapi?

Kama amekula hela ya Lowasa arudishe, maana Lowasa hata NEC hafiki. Ataishia kwenye Sekretarieti ya CCM.
 
Back
Top Bottom