Kama kweli wabunge wa CCM ni wazelendo kwa hili muungeni mkono Zitto

Wakuu hii kura 70 kuwa uwezekano mkubwa inaweza ikafika
 
Msitegemee kuona jina la Mbunge wa CCM kwenye hiyo orodha. Wabunge wa CCM wote ni wanafiki, hakuna hata mmoja mwenye dhamira ya kweli ya kupambana na ufisadi. Hakuna wabunge wenye nidhamu ya woga kama wa CCM. Subirini feedback Jumatatu.
 
Zitto amewatega, kama wanauchungu waunge mkono, kama hawanaungi mkono wakae kimya wasilalamike...
 
Kupata kura 70 si kazi kwani kwa hesabu zet tayri kuna kura 48, kazi ipo kwenye kupata kura 22.
CCM hata wasipotoa kura hizi bado wabunge wengine wa upinzani (CUF,UDP, TLP na NCCR wanazidi idani hiyo. Sasa issue ni mkakati wa kuwashawishi hao kwani kambi ya Upinzani haina ushirikiano.

Cha msingi ni wananchi kuwashinikiza wabunge wao kupitia njia za mawasiliano zilizopo, na wapigakura wake wafuatilie kuona kama aliwasikiliza kwani watakaounga hoja hii Mkono tutawajua kwa majina.
Tatizo nilionalo mimi ni ile 51% ya kura kama hoja ikipitishwa. Hata hivyo wakulaumiwa ni watanzania, kwani wao ndio waliowachagua wabunge wengi wa CCM, na hili litakuwa ni fundisho tosha


Ninachomuomba Mheshimiwa Zitto baada ya kukusanya sahihi anijulishe kupitia JF kama Mheshimiwa Gozibert Blandes Mbunge wa Karagwe naye ameweka sahihi yake katika zile 70. Naahidi kama hatasaini malipo yake atayakuta jimboni. Timu yote tutazunguka jimbo zima mpaka Chibogweizi tunaeleza usaliti wake na kumuomba hasaahu kugombea tena kwenye wilaya hiyo. Naye hukumu yake inaanzia hapa.
 
Tangu lile sakata la Buzwagi na mkataba uliosainiwa kwenye grocery huko Uingereza, ulisimama kidete bila hofu mpaka ukasimamishwa ushiriki wako bungeni kwa miezi kadhaa lakini baadae ikaonekana kuwa YOU WERE RIGHT na si kwamba hawakujua ila walikuwa wanakuintimidate ili kufunika madhambi yao. Bado kwenye issue ya CHC kufutwa ulisimama kidete na ukaweka rehani ubunge wako na leo waungwana wamekusemea unastahili kuombwa msamaha na wabadhirifu wa mali za umma! Hili la leo sasa umevunja record yako mwenyewe and now you are next to none! Nashauri kura zipipigwe ili mtoto wa mkulima azinduke na heshima irejee! Hatuwezi kuwa na watu wasio na moyo wa kuwatumiki watu wakawa wanaiba kama vile nchi ya machizi hii. Big up sana brother, you are the true hero indeed! Be blessed, tuko pamoja!
 
Napendekeza Mustafa Mkulo, Mkuchika, selina kombani, lukuvi na ngeleja watimuliwe uwaziri ili kumuokoa Pinda.
 
Baada ya mh. Zitto kutoa azimio la wabunge kutia sahii kwa ajili kutokuwa na imani na PM, ndugu waJF tujua fika wabunge wa chadema wote 49 watatia sahihi zao. Je kuna wabunge gani tunaona kuwa huenda nao wakafanya hivyo.?
Tuwataje kwa majina na chama wanachotoka.
1. Magedelena Sakaya (cuf).
2. Godfrey Zambi (ccm).
3. Samuel Sitta (ccm)
4. Harison Mwakyembe(ccm) 5. Agustino Mrema (TLP).
6........
7.........
8....

hii itakua name calling........... waache wawe huru kujiamulia, ni watu wazina na nina imani kuna watu watapoteza kazi hapa
 
Mawaziri wetu wajue kujiwajibisha ni aibu na tuhuma hizo bado wanangangania madaraka. Dawa ni hiyo kuwalazimisha maana jk ameshindwa anawaonea haya.
 
Duh Zityo kawaingiza wabunge wa magamba mtegoni, sasa wanatakiwa kuwawajibisha magamba wenzao, na wasipofanya hivyo itajulikana kelele zao hazina mashiko ni taarabu za TOT tu! Kwakuwa hapa jf hatutaikosa hiyo list lazima tutaona kama akina Bulaya na akina Deo wamesaini!
 
Mkuu mtoa mada hivi kwa hali iliyotokea leo pale mjengoni unadhani Filikunjombe na Zambi bado wapo CCM?

mimi naona jamaa kakerwa sana na mambo ya ccm nahisi magamba wanaweza kumfanya kitu huyu Filikunjombe. Embu tufuatilie na tusubirie tutaona tu mbeleni kitakachotokea.
 
Kwa akili yako unafikiri shibuda mchumia tumbo? Acha upuuzi wako,shibuda ni jembe la ukweli,siyo kama akina selasini.
 
Mawaziri wetu wajue kujiwajibisha ni aibu na tuhuma hizo bado wanangangania madaraka. Dawa ni hiyo kuwalazimisha maana jk ameshindwa anawaonea haya.

Kifuatacho ni kukosa imani na Rais.
 
hii ndoa ya cuf na ccm sidhani kama wana-cuf wanaiunga mkono, hio ilifosiwa na viongozi fulani fulani wa cuf kutokana na uroho wa madaraka. Yaani wameingia ndoa wakati hao viongozi ndo walisababisha hadi wanachama kibao wakafa wakati ule wa machafuko huku hao wakikimbiza roho zao.

Kwanza mimi huwa sipendi kuita hii ni ndoa, ktk hili suala naona kama vile cuf wamebakwa na ccm na hatimaye wakaozeshwa ndoa ya mkeka.

:A S 109:teh teh teh teh
 
anaetakiwa kuwajibika sio waziri mkuu bali ni mkulo ambaye ametajwa kufisadi mali ya umma
 
Back
Top Bottom