Kama kweli Mhe. EL alikubali kuwa kafara..basi sasa hivi anasubiri vinguvu vidogo kama Samsom.

Kamanda kwa hiyo padre Slaa tupa kule mnamuweka Lowassa.Teh teh teh
upo concerned na nini kwani uhai wa CCM au Padre?Tunawajua nyie ..huwa ni wadini ,wakabila,na wakanda ila linapokuja suala ya kuchagua kilicho bora ktk uhai wenu huwa mnakwenda ktk hizo dini,ktk hizo kanda,ktk hayo makabila.
 
Kuna watu wadini na wakabila kama nyie si unaona wote mmekimbila kwa Lowassa kisa katoka Kaskazini.

Mtu kama una chuki kufa na Waislam na wewe leo unafungua kinywa chako kupinga udini na ukabali.

Nawashauri wakaskazini wote unganisheni nguvu zenu kwa Lowassa halafu tutakutana kwenye uchaguzi.
 
Kuna watu wadini na wakabila kama nyie si unaona wote mmekimbila kwa Lowassa kisa katoka Kaskazini.Mtu kama una chuki kufa na Waislam na wewe leo unafungua kinywa chako kupinga udini na ukabali.Nawashauri wakaskazini wote unganisheni nguvu zenu kwa Lowassa halafu tutakutana kwenye uchaguzi.
mgaagaa na pwaninilikuambi wewe ni wa hovyo km mnyama anayechezea cheti hadi kufa.Tunawajua,hamtupi shida..ndio maana tukiwakuta mara ya kwanza huwa mnajisifia mji wenu,baadae nyie ndio mnajua mapenzi,baadae ndie mnajua kiswahili,baadae mnakuwa wadeni wakubwa wetu,na baadae mnatutukana mkiwa na wagaagaa wenzenu ila mkikandamizwa kidogo kibakuli hakijai bila sisi wachumia juani,bila sisi mbao huwa hatuna muda wa sifa za kijinga.Nashangaa hata hiyo ya mapenzi mwisho wa siku kuanzia dada zenu hadi nyie wengine kuoa au kuelewa kwenu ni kma bahati imewashukia.
 
Yaseme yote umalize, JK angekuwa sii mjanja angekuwa rais wako kwa miaka 10. Aliyejiabisha nani kama sio hao tulowaamini kwa miaka 10 ilipita, leo wanaungana na List of Shame tena kwa kujigamba! Maskini wa watu hata mzee wetu Dr.Slaa mnamuona kizibo..

CCM sio wasafi na hakuna alosema ni wasafi lakini hata huko kwingine wasafi hakuna maana hata kuachia kiinua mgongo na posho tu wameshindwa wengine wanadai Ubunge umewapa Umaskini baada ya kupokea millioni 11 kila mwezi kwa miaka 5, wengine hawawezi kusomesha watoto wao shule za Kata kwani sio maskini yaani ni aibu tupu. Wengine wamefikia hata kuwatukana waasisi wa nchi hii wakati wanagombea Ubunge wa nchi hiyo hiyo wanayoikana. Hizi siasa gani?

Leo tunaujua Ukweli hayo mloyadai juu ya Zitto sasa mnaumbuka wazi wazi kumbe nyuma ya pazia wenyewe ndio mlokuwa mkivizia. Zile habari zote za unafiki tumeziona hata kabla ya uchaguzi halafu bado msivyokuwa na aibu mnatafuta vijisabababu kusema watu wengine hali mmekaa uchi wa nyama. Mimi sikubuni lolote mkuu wangu niloyasema yote yanawakuta. UKAWA ndio hiyo, mnavurugana hamna jinsi isipokuwa kupokea makapi ambayo yanajua huu ndio mwisho wao maana hawa wote walikuwa kambi ya Lowassa wakitembea kwa magoti na kugaragara wakiimba nyimbo za kanisani.

Hata msijiulize kwa nini wanakimbilia kwenu mnapokea tu ati wanachama wa CCM wamehamia Chadema jamani hao wote ni Cartel ya Lowassa walolishwa na kununuliwa leo, kama wachawi wako uchi wa nyama hawana pa kukimbilia isipokuwa Chadema kwenye kambi ya wakimbizi. Hakuna Kubuni buni hapa ni UHALISIA...

Nakumbuka ACT Tanzania?/Wazalendo? ndio waliokuwa wa kwanza kumwita?/kumkaribisha Edward N. Lowassa ili tu mradi afuate mfano wa kiongozi mkuu wa chama (Supreme Leader) ZZK kwa sharti la eti tu kutangaza mali zake!!

Vipi hiyo ilikuwa na maana gani kwani Mheshimiwa sana Mkandara?

Na ina tofauti yoyote kwani na kuelekea kwingine na hasa kwa wale "usiowapenda" yaani CHADEMA??

Au umesahau mkuu kwamba hili Iilikuwa ktk mipango ya ACT ya ZZK?
 
NIngependa JK aongee ili ajipigie mipasho yake wewe hadi atie kichefuchefu halfu mkapa..mwisho EL afunge.
 
Nakumbuka ACT Tanzania?/Wazalendo? ndio waliokuwa wa kwanza kumwita?/kumkaribisha Edward N. Lowassa ili tu mradi afuate mfano wa kiongozi mkuu wa chama (Supreme Leader) ZZK kwa sharti la eti tu kutangaza mali zake!!

Vipi hiyo ilikuwa na maana gani kwani Mheshimiwa sana Mkandara?

Na ina tofauti yoyote kwani na kuelekea kwingine na hasa kwa wale "usiowapenda" yaani CHADEMA??

Au umesahau mkuu kwamba hili Iilikuwa ktk mipango ya ACT ya ZZK?
Kama hukusoma vizuri Zitto aliulizwa swali Ikiwa Lowassa ataondoka CCM na kuhamia ACT mtamkaribisha? akajibu Kama Lowassa ataweza kutaja mali zake na madeni yake! sasa inabidi wewe msomaji ujiulize ni ipi MIIKO na MAADILI ya Kiongozi wa ACT. Je, Lowassa anazo sifa hizo! hakuna kiongozi wala mwana ACT alokwenda kuzungumza na Lowassa ama wapambe wake kushiriki uchaguzi wa rais ndani ya ACT..

Na wakifanya hivyo, nawakomalia nyani geledi kama kazi, hata akipanda juu ya tawi. ndio kazi tulokuwa nayo hapa JF kwa miaka yote.
 
hembu tuwasikilize wana ccm kama watasema hana nguvu katik chama chao....sikuanzisha thread ili nijibu kila kitu mimi mwenyewe.

Pengine hapo pa kujisafisha ndipo najisikia raha kusikia kwa wachagiaji wengine zaidi.kwanini mi sijaon njia rahisi zaidi ya kutoa kafara kubwa.

yaani wewe nicholas kazi yako ni kuleta uzi za kichochezi tu,sijui kama ni mtu wa lika ngani,na kama ni kijana basi wewe ni taulo basi,
 
tatizo ukinipa cocacola hata km imtoka dubai unaweza itwa mkabila.

wewe ni wa hovyo unaweka uzi za hovyo na kukomaa kujibu hoja za watu ,kwa id yako hiyo inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani,ila ki ukwelu wewe ni hovyo uchochezi, ukabili, unafiki umekujaa kichwani ,

yaani wewe nicholas kazi yako ni kuleta uzi za kichochezi tu,sijui kama ni mtu wa lika ngani,na kama ni kijana basi wewe ni taulo basi,
uchochezi si ndio kimbilio la mwsho la ccm kuwaita wanaopinga uchochezi..si mnasema wengine wanavunja amani,si mnasema wengine ni waroho wa madaraka,si mnasema kaskazini wasahau kushika dola..sasa wagaagaa na pwani wasahau.
 
mgaagaa na pwaninilikuambi wewe ni wa hovyo km mnyama anayechezea cheti hadi kufa.Tunawajua,hamtupi shida..ndio maana tukiwakuta mara ya kwanza huwa mnajisifia mji wenu,baadae nyie ndio mnajua mapenzi,baadae ndie mnajua kiswahili,baadae mnakuwa wadeni wakubwa wetu,na baadae mnatutukana mkiwa na wagaagaa wenzenu ila mkikandamizwa kidogo kibakuli hakijai bila sisi wachumia juani,bila sisi mbao huwa hatuna muda wa sifa za kijinga.Nashangaa hata hiyo ya mapenzi mwisho wa siku kuanzia dada zenu hadi nyie wengine kuoa au kuelewa kwenu ni kma bahati imewashukia.
Naona unaandika uharo tu.
 
wewe ni wa hovyo unaweka uzi za hovyo na kukomaa kujibu hoja za watu ,kwa id yako hiyo inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani,ila ki ukwelu wewe ni hovyo uchochezi, ukabili, unafiki umekujaa kichwani ,
wewe km ni utumbo utakuwa ile appendix km si ule utumbo wa taulo toka ktk kiumbe mwneye aina zote z aminyoo.
 
Kuna watu wadini na wakabila kama nyie si unaona wote mmekimbila kwa Lowassa kisa katoka Kaskazini.

Mtu kama una chuki kufa na Waislam na wewe leo unafungua kinywa chako kupinga udini na ukabali.

Nawashauri wakaskazini wote unganisheni nguvu zenu kwa Lowassa halafu tutakutana kwenye uchaguzi.

Teh teh unachoshindwa tambua ni kuwa option zote mbili zinawabeba adui zako....

Unashindwa tambua kua wanachotafuta wenzio ni pride tuu sio maslahi maana wenzako wameset maslahi yao kiasi kwamba hata mkitawala waswahili kwa miaka 100 hamuwezi wafanya chochote!!!

Kazi kwenu mliozoea kuishi kwa fadhila na kubebwa na bado hamridhiki kutwa lawama na matusi...

Nakuambiaga huo mfumo na watu wake utafaidi nchi hii mpaka mwisho wa dahari so kina Lowassa au Slaa wanatafuta pride tu baaas!!!

Mtauza kanzu sana za msamaha wa kodi but hamtaweza wafikia mnaowafukuzia....

Nakushangaa unaposema mtakutana october je mtakutana dhidi ya nani?

Fukara wa akili wewe!
 
Mrembo wa JF naye kajenga hoja.

Kwi kwi kwi!!
 
Mrembo wa JF naye kajenga hoja.

Kwi kwi kwi!!

Muhimu ujumbe umeupata na umekuingia....

Mtu mzima kama wewe mooohdddd wa hekaya ukianza andika utumbo kama huo ni dalili ya kuchanganyikiwa!!!!
 
Wewe si umepewa banana na Lema toka asubuhi unamwaga pumba tu JF.
Wewe si kiti moto, na mwezi si umwekwisha ?kwanini usile hizo pumba km unaziona?Kiti moto anaweza kula siku nzima.
 
Back
Top Bottom